chadema wapo nyuma ya hii kitu mkutano mkuu wa chadema upo pacha na hii migomo
solution ni kuifuta cdm kwanye uso wa dunia
Achilia mbali kuahirishwa kwa kura ya maoni, hata kufutwa kwa mpango wa Matumla kwenda kucheza pambano la utangulizi kati ya Myweather na Paquiao kule Las Vagas ni mkakati wa CDM. Upo hapo? Waambie waifute tena haraka sana. Mxzzzz.....!