Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

Tetesi: Kesho Dar watu wana jambo lao

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,124
Reaction score
1,983
Sijui walahi! Naambiwa hapa kuna jambo lingetokea leo lakini limeahirishwa mpaka kesho huko Dar. Mliopo Dar mkae vizuri na mtujuze nini chaendelea huko.

Mambo yashafana. Hiyo miili mtaila nyama mbichi. Na bado.
 
Screenshot_20251108_145048.png
 
Sijui kwanini Serikali hawalioni hili.
Ni kweli watu wameuwawa, Lkn where are bodies?

Yaani nizae mtoto, afike miaka 25, Apigwe risasi for just having an opinion, na nisipate nafasi ya kuzika mwili wake?

Unazani haya maumivu mtayanyamazisha kwa kupiga mabomu, risasi au nn?
 
Back
Top Bottom