Kero za mtandao wa Tigo

Kero za mtandao wa Tigo

Ngoja tuone mwisho wake,sasa hivi wanalaumiwa sana na wanachuo hasa baada yakushusha MB zao,hapo ndipo wataisoma namba.
 
Tigo ni washenzi tena wa ngozi..! Sasa ni muda muafaka kuwaacha wapuuzi hawa..!

Shame on you tigo.
Ukiachana nao utaenda mtandao gani mkuu. Coz wote lao ni moja tu. In short tunatumia mitandao tuliyonayo kwa sababu tunahitaji mawasiliano na hatuna alternative.
 
habar ya midaa hii.
km heading inavyosemeka hpo juu tupia neno iwe salam kwao juu ya huduma zao za hiv karibuni kwa wateja wake sasa..
kiukweli wanashangaza. wiki iliyopita nikiwa nimeshajiunga kifurushi cha chuo wakanitumia sms kwamba nimepokea sekunde 200 za kupiga mtandao wowote kwa saa 24 na kwamba nitalipa sh350 nitapoongeza salio. leo nimeongeza salio wamenikata 350/= !!!!!! ukipiga 100 inaita hadi unachoka.
 
C9B5WMRXsAA8vEE.jpg
 
Pole sana mkuu. Mm mwenyewe kuna siku walinitumia sms kuwa kama nimeishiwa salio nipige namba fulani ivi nikijua kuna maelezo ya kutosha, ile nimepiga once wakaniambia hongera umepata dakika... wanaandika utakatwa 1000 ukiongeza salio wakat huo huo nlikuwa na midakika kibao. Nlivyowapigia kuwaeleza wanachofanya sio wakabaki wanababaika kwa bahati mbaya wakaishia kula matusi tu. Shame on them
 
Back
Top Bottom