Kero za mtandao wa Tigo

Kero za mtandao wa Tigo

Mtandao wa tigo umekuwa wa kipuuzi tokea Mh. Manji kumiliki huu mtandao. Wahindi wamezidi wizi, siku zote, waindi wanapenda faida ya juu sana, kitu ambacho itafanya biashara nyingi za tigo ziwe changamoto. Wahindi punguzeni udikteta katika biashara. Kama biashara kariakoo zimekuwa changamoto, mnaingia katika Mitandao kwa style hii, mttafanya watumiaji wakimbie
 
Uzuri kuna mitandao mingi so acheni kulalama, piga kimya tupa laini
 
Huku wanaingiaga kweli nawafata fb wanajifanyaga wanajali wateja kumbe wanang'ata na kupuliza ...wakafie mbali
 
mimi nimehamia aiterl tayari, wakizingua nahamia voda, tutaenda hivi hivi tu
 
Hawa jamaa wana sadifu maudhui ya jina Lao..
 
Umeme nao wakiruhusu watu binafsi kuwekez, Taneco kwa heri kama tccl.
Hapa ni kubadili line tu
 
Chukua vocha ya 1000 kisha piga *148*namba ya vocha*03# utakatwa 600 na kubaki 400. Hapa utapewa 1GB kwa 24hrs.
 
Back
Top Bottom