hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] duhNimekosekana hewanI miezi miwili Leo nimeiweka kwenye sim nashangaa haipandishi network,kufuatilia huduma Kwa wateja wananiambia bila aibu inamilikiwa na mtu mwingine