hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja tuone mwisho wake,sasa hivi wanalaumiwa sana na wanachuo hasa baada yakushusha MB zao,hapo ndipo wataisoma namba.
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja tuone mwisho wake,sasa hivi wanalaumiwa sana na wanachuo hasa baada yakushusha MB zao,hapo ndipo wataisoma namba.
hivo ivo mkuu..ila tunangalia unafuu kidogoUkiachana nao utaenda mtandao gani mkuu. Coz wote lao ni moja tu. In short tunatumia mitandao tuliyonayo kwa sababu tunahitaji mawasiliano na hatuna alternative.
umeona walivokuwa wanaboa.aisee
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tigo ishalaaniwa, tigo sio kitu kizuri nduguzanguni
mkuu sio km sifahamu ila tu niliandika kwa.kurahisisha tuuyo= huyo
kabisa ni kuhama tu hawaDaa jaman tgo inaboa sna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kanisitiri tu mkuufaizafoxy hajakuona nini
wameuzaje bnnKwanza nataka niwashtaki tigo Kwa kuuza line yangu bila ridhaa yangu
shenzi kabisa hawa aiseYaani kwa Tigo Bora BASHITE
kwel kabisa si kwa unyonyaji huu bhn.Wapunguze wizi..
Mimi mpaka nimewachoka.kwel kabisa si kwa unyonyaji huu bhn.
ni bundle likisha xpire voda hiyo mana hmna namna.Mimi mpaka nimewachoka.
Mpaka wanaboani bundle likisha xpire voda hiyo mana hmna namna.
NDO MWANZO WA KUHARIBU LUGHA MKUUmkuu sio km sifahamu ila tu niliandika kwa.kurahisisha tu
Nimekosekana hewanI miezi miwili Leo nimeiweka kwenye sim nashangaa haipandishi network,kufuatilia huduma Kwa wateja wananiambia bila aibu inamilikiwa na mtu mwinginewameuzaje bnn
[emoji121]Habari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.