Kero za mtandao wa Tigo

Kero za mtandao wa Tigo

Habari JF, huu mtandao wa TIGO sasa imekuwa kama desturi kuseize kwa muda huduma zake na kubadili vifurushi bila taarifa. University ofa ya 1500 leo inatoa 10mbs kweli? Mna agenda gani na tunaoperuzi habari zao mara kwa mara?
Nina miaka 10 au 11 natumia huu mtandao ila nimewachoka. jua likitoka ntapanga foleni voda au airtel.
Kaka usije airtel mimi ninafungasha virago niondoke... huku hakuna la maana..
 
Hahahaha duh pole mkuu...ila jitahidi usije tigo
Hapa nachati kwa maombi ya Gwajima. Jana usiku nilikua nadownload file la mb4 ila nilikaa apo mpaka sim ikazima chaji..
db7f01e67ed059e1b075f0a13ca35089.jpg

Hapo unaona nna GB 1.8 ila mpaka mda wa kifurush kuexpire itakua zimebaki zaidi ya GB 1 naa kwa sababu huezi fanya chochote cha maana zaidi ya kuchat tuu
024d8f91f1ca656333d970da9b1c1939.jpg

Ona youtube yenyewe kufunguka mpaka uifungie kwaresma
 
Habari ya mida hii.
Kama heading inavyosomeka hapo juu, tupia neno iwe salamu kwao juu ya huduma zao za hivi karibuni kwa wateja wake.
 
Tigo ni washenzi tena wa ngozi..! Sasa ni muda muafaka kuwaacha wapuuzi hawa..!

Shame on you tigo.
 
Back
Top Bottom