CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Kero yangu Kubwa Ni hawa vijana wa kiume wanaojiita Masharobaro kuja kututongoza sie wakati mifukoni mwao hawana hela ya kuhonga.
Madame B inaniuma sana!!!
hii tena ni kero nyingine....vinauzi....vinataka vyenyewe ndio vikuchune......

kero yangu mie kama huku dar ndo saana ukisimama kwenye gari basi lijanaume halina hata haya anakusimamia nyuma mara unahisi kitu kinakuchoma kumbe limeezeka turubai kwa mti mmoja ukihama anawewe afu jitu ziiima
Nyingne ni hili suala mtu anaita kwa busu afu eti anasema oya oyaa anti ee we antii oyaaa usipogeuka wanaanza sasa kuto mineno ya shombo
mijitu inayotema tema mate hovyo barabarani......inanikera....
kero yangu mie kama huku dar ndo saana ukisimama kwenye gari basi lijanaume halina hata haya anakusimamia nyuma mara unahisi kitu kinakuchoma kumbe limeezeka turubai kwa mti mmoja ukihama anawewe afu jitu ziiima
Nyingne ni hili suala mtu anaita kwa busu afu eti anasema oya oyaa anti ee we antii oyaaa usipogeuka wanaanza sasa kuto mineno ya shombo
Kero yangu me ni hawa wadada wanaovaa nguo fupi kupita kiasi mpaka yeye mwnyewe hana raha unakuta akitaka kupanda public transport anasumbuka kuivuta ili asikae u.c.h.i. Sasa me huwa najiuliza kitamba cha nusu mita kweli unaweza kivuta kiwe mita m0ja?yani unamkuta anaminyana kuvuta afunike vitu vyake vya faragha
kero yangu kubwa kuona mtu mzima kanyanyua mkono kwenye daladala kashika bomba, kava sleevles halafu hajashave, nasikiaga kuchefukwa!
hata wanaume nao?huenda wanasumbuliwa na mimba changa!
malapa.mie wanaobust manyonyo, afu manyonyo yenye hayana mvuto!!!!!!