Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Hiyo ajali ya Mbeya umeiskia?Huo mwendo unatosha sana mkuu na umesaidia sana kupunguza ajali
Kuna sababu nyingi sana zinazosababisha ajaliwanasema bora uwende polepole lakini ufike salama
Imesababishwa na mwendo kasi?Nimeisikia ni lory limeangukia hiace
Saaanaaa imekuwa kama adhabu aseeSisi wa safari ndefu wanatushosha
nukweli lakini sababu kubwa ni mwendo kasi sio mbaya wakakazia apo kwanzaKuna sababu nyingi sana zinazosababisha ajali
Mwanza Dar Siku mbilinukweli lakini sababu kubwa ni mwendo kasi sio mbaya wakakazia apo kwanza
Haijasababishwa na mwendo kasi ila sehemu ilipotokea napafahamu kuna kimlima kakali kushuka kuingia mbalizi kama dereva uko na gari (lorry)yenye mzigo mkubwa usipokuwa makini gari inakushinda ndio kama hivyo unaweza sababisha ajali au ukaliangusha bondeni hukoImesababishwa na mwendo kasi?
hii chai sasa mkuuMwanza Dar Siku mbili
Mwanza Dar zipo gari zinatoboa mbonaMwanza Dar Siku mbili
Kabisa mkuu,unajua wanaotetea spidi 80 wengi wao hawajui na wasafiri wengi wamezoea bodaboda tuAisee spidi 80 ni kero mnoooo kwa abiria. Ni spidi ndogo na inachosha mnoooo. Mi naona dawa ni moja tufanye magari yote ya private, Serikali na mabasi yaende spidi 80 ndio watajua kero yake. Wao wanatembea spidi 160 ndio maana hawaoni kero yoyote ya spidi 80.
Binafsi reasonable spidi iwe 110 sio 80 iliyopo sasa.