Habarini wadau wote wa humu.
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia.
Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi Kibamba/Kiluvya.lakini sasa baada ya kuzuiliwa na kuanzishwa Route mpya za Mloganzila/Makumbusho,Mloganzila/Kawe imekuwa ni kero kwa watu wanaoishi na wanaokuja kupata mahitaji ya matibabu(Mloganzila Hosptl) na kiserikali (Ubungo Mnspl).
Hii inatokana na kukatishwa kwa Route hizi kimakusudi ili kujipatia kipato cha ziada kunyume na utaratibu wa TLB zao,kwani daladala zote zinaporudi kutoka mjini huishia Mbezi Luis kinyume na utaratibu na kusababisha ongezeko la nauli kwa abiria wanaoendelea na safari za mwisho wa kituo husika cha magari hayo.
Ushauri;
Kwa kuwa gari hizi ni za moja kwa moja kutoka Makumbusho/Kawe kuelekea Mloganzila/Kibamba sioni sababu ya kuingia mbezi luis stand kwa sababu kuna gari zinazoishia Mbezi kutoka maeneo hayohayo.na nyingine zinaanzia hapo kuelekea huko Kibamba na Mloganzila.Naomba mamlaka ilitazame hili kwa uzito ili abiria wasiendelee kuumia kutokana na ongezeko la nauli hasa wakati wa kurudi M/nzila na Kibamba.
Nawasilisha..