Kero ya usafiri wa daladala Mloganzila

Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,083
1,135
Habarini wadau wote wa humu.

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia.

Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi Kibamba/Kiluvya.lakini sasa baada ya kuzuiliwa na kuanzishwa Route mpya za Mloganzila/Makumbusho,Mloganzila/Kawe imekuwa ni kero kwa watu wanaoishi na wanaokuja kupata mahitaji ya matibabu(Mloganzila Hosptl) na kiserikali (Ubungo Mnspl).

Hii inatokana na kukatishwa kwa Route hizi kimakusudi ili kujipatia kipato cha ziada kunyume na utaratibu wa TLB zao,kwani daladala zote zinaporudi kutoka mjini huishia Mbezi Luis kinyume na utaratibu na kusababisha ongezeko la nauli kwa abiria wanaoendelea na safari za mwisho wa kituo husika cha magari hayo.

Ushauri;
Kwa kuwa gari hizi ni za moja kwa moja kutoka Makumbusho/Kawe kuelekea Mloganzila/Kibamba sioni sababu ya kuingia mbezi luis stand kwa sababu kuna gari zinazoishia Mbezi kutoka maeneo hayohayo.na nyingine zinaanzia hapo kuelekea huko Kibamba na Mloganzila.Naomba mamlaka ilitazame hili kwa uzito ili abiria wasiendelee kuumia kutokana na ongezeko la nauli hasa wakati wa kurudi M/nzila na Kibamba.

Nawasilisha..
 
Habarini wadau wote wa humu.

Baada ya kusubiri kwa muda mrefu ili angalau wahusika waone hili tatizo,nimeona ni bora niwape taarifa maana naona bado watu wanaumia.

Kabla ya kuzuiliwa Daladala kutoka nje ya mkoa wa Dsm kuingia mjini kati kulikuwa hakuna tatizo la kutoka na Kurudi Kibamba/Kiluvya.lakini sasa baada ya kuzuiliwa na kuanzishwa Rout mpya za Mloganzila/Makumbusho,Mloganzila/Kawe imekuwa ni kero kwa watu wanaoishi na wanaokuja kupata mahitaji ya matibabu(Mloganzila Hosptl) na kiserikali (Ubungo Mnspl).

Hii inatokana na kukatishwa kwa Rout hizi kimakusudi ili kujipatia kipato cha ziada kunyume na utaratibu wa TLB zao,kwani daladala zote zinaporudi kutoka mjini huishia Mbezi Luis kinyume na utaratibu na kusababisha ongezeko la nauli kwa abiria wanaoendelea na safari za mwisho wa kituo husika cha magari hayo.

Ngoja waje
 
gari nyingi sana siku zinakatusha route, hawa LATRA sijui kazi yao nini. kama wanashindwa kuzilazimisha daladala kuenda route inayotakiwa wataweza fanya kazi gani. hii nchi ni ya hovyo kabisa watu wapo wapo tu
 
Na pia gari nyingi sana zinaiba Route za wenzao
 
Kuna tatizo kubwa LATRA kwani sasa hivi daladala zinafanya kazi bila kusimamiwa, wamekuwa wanakatisha ruti, wanatoza nauli wanazopanga wao huku wahusika wamekaa ofisini ni heri wakati wa SUMATRA wahusika walikuwa wanafanya ukaguzi.
 
Kwa mfano
Kutoka Mloganzila mpaka makumbusho nauli ni tsh 600/750 lakini unaporudi kutoka Makumbusho kwenda mloganzila kwa gari hiyohiyo itabidi ulipe 1000 au 1150 hii ni kwa sababu gari itaishia Mbezi luis halafu itapakia abiria wa 400 kwenda mloganzila.
 
Tatizo kuu lipo kwetu sisi abiria. Gari unaiona ina Mkorogo wa Mloganzila/Mawasiliano au kokote na ndiko inakokwenda, unakaa kumsikiliza konda au mpiga debe anavyojiitia abiria kwa Matakwa yake na sio kwa Mujibu wa Utaratibu. Kwa nini Abiria kwanza tusishikamane sisi wenyewe haswaa ili watoa huduma wajue kabisa hawa abiria wapo hivi.
 
Ni kweli mkuu ila bila mamlaka kusimamia ipasavyo itakuwa ngumu kukabiliana nao.
 
Sio kweli ndugu, hivi unajua wao wenyewe madereva na makonda huwa wanaogopa sana unapowadindia!? Wapo radhi wakurudishie nauli yako kamili ili tu ushuke kwenye gari pale wanapokatisha ruti!?
 
Back
Top Bottom