Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,320
- 24,191
Kwa wale tunaotumia barabara ya Dar Bagamoyo kila siku mtakubaliana na kero hapo Bunju B.
Hapa vibanda vya machinga vipo hadi shoulder za barabara, na wapita kwa miguu, baiskeli, mikokoteni na bodaboda na bahaji xote wanagomnea kupita.
Matokeo yake asubuhi na jioni hapapitiki, foleni hadi kilometa pande zote.
Serikali haioni kero hii?
Barabara hii ndio moja ya njia kuu kuelekea Kaskazini mwa nchi!
Hivi tunataka kila kitu mama Samia atoe agizo?
Mzee Makalla upo hapo?