LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,170
- 11,239
Naamini mpo humu na mnanisikia nyie wadada,
Kero yangu ni hii, yaani unakuta wanasukana uwani hasa nyumba zetu hizi za uswazi ndio hupenda kujianika uwani.
Utakuta wanasukana mbele ya mlango wa choo basi mwanaume ukiingia chooni yaani hata kujamba hujambi kwa kujiachia unajamba kwa machale kama upo kwenye daladala vile.
Hivi mlango wa choo ukiwadondokea hasara kwa nani?
Taulo nalo likiniponyoka hasara kwa nani?