KERO: Wanawake wanaosukana nje ya choo nyumbani

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,145
11,176
Naamini mpo humu na mnanisikia nyie wadada,

Kero yangu ni hii, yaani unakuta wanasukana uwani hasa nyumba zetu hizi za uswazi ndio hupenda kujianika uwani.

Utakuta wanasukana mbele ya mlango wa choo basi mwanaume ukiingia chooni yaani hata kujamba hujambi kwa kujiachia unajamba kwa machale kama upo kwenye daladala vile.

Hivi mlango wa choo ukiwadondokea hasara kwa nani?

Taulo nalo likiniponyoka hasara kwa nani?
 
Huwa wanakaa vibaya wakati mwingine, basi siku moja nikaganda mlangoni
nachungulia Rangi za kufuli. Kuna mmoja hakuwa na kufuli kwa mfadhaiko
nikajikuta nimeuegemea mlango kwa nguvu ukajifungua nikaangukia nje.......
Dah! Yaani ilikuwa bonge la noma..... lakini ni miaka hiyooooo ambayo vyoo
vingi vilikuwa vya milango ya gunia.
 
Back
Top Bottom