Kero vituko na vioja vya majirani

Kuna nyumba nlpanga zamanii.... Sasa nlkua nabadlisha madem kwa siku ata wa3 kilchokua kinankera n mtt wa mwenye nyumba mdogo ka miaka 7au9 Iv kakiniona tuu na dem kanaanza kuimba lova boy lava boy......nlkua nataman kukupiga kwenzi sema tuu kalkua kanaimba mbele ya mama ake
Hapo lazima mama yake alikuwa wanakusema sana. Dogo kakawa kanameza
 
Ataree tupu unakuta wamekaa nje wengi sjui wengine walkua wanatokeaga wap... na nilkua nawakomesha napita nae pale pale af baada ya masaa ka3 Iv natoka nae namsindikiza. uzur walkua wananliogopa gwanda
kama gwada clear.. nyie jamaa wa gwanda pande hizo mnatisha sanaa.. na mtu akizinga mnatembeza kipigo ,, hako kadogo ungakapiga konzi moja kangetulizana sema tu hujakapa attention sana
 
Kuna nyumba nlpanga zamanii.... Sasa nlkua nabadlisha madem kwa siku ata wa3 kilchokua kinankera n mtt wa mwenye nyumba mdogo ka miaka 7au9 Iv kakiniona tuu na dem kanaanza kuimba lova boy lava boy......nlkua nataman kukupiga kwenzi sema tuu kalkua kanaimba mbele ya mama ake
Hahahaah hako katoto kalisikia wakubwa wakikujadili kakakariri
 
Kero yangu ni majirani kupiga story za makanisani kwao kwanguvu,yaani sipendi,hebu cheki leo kitu walokuwa wana hadithiana.

Padri alikuwa anafuga kuku. Siku moja jogoo akapotea. Basi akaamua kutangaza Kanisani.
PADRI: Wangapi wana jogoo? Wanaume wote wakasimama.
PADRI: Sio hivyo jamani! Wangapi wameona jogoo? Wanawake wote wakasimama.
PADRI: Loh! Hamjanielewa ndugu zanguni! Wangapi wamemuona jogoo wangu?? Masista wote wakasimama.
PADRI akapoteza fahamu...!!
Khakhaakhaaaaa ila Afande wewe! Duh
 
Kwangu mie nina jirani ambae kwakweli huwa simwelewi kabisa
Mtoto wake akija kwangu kucheza na wanangu yaani ni kama vile hana mpango kabisa na mwane
Anaweza kumwacha mpaka hata usiku saa tatu hajaja kumchukua mwanae na msipochukua jukumu la kumrudisha anaweza hata mkalala nae
Mbaya zaidi katoto ukikaangalia kana vitabiaaa..... !! yaani ni shida tupu katoto wala hafikirii kwao yaani ni kama vile na kenyewe kamefika
Tabia hii huwa inanikera sana
Si kwamba sipendi watoto lakini mtoto wa mtu ni wa mtu tu
We jirani yangu mama nanihii.... hebu badilika aise mpende wanao mbona mie wangu hawakuji kwako mala kwa mala au unataka kunisusia mwanao nimlee mie?
Acha hizo aise
Siku nyingine ntakutaja jina kama mbwai na iwe
 
Huyo mtoto ana umri gani??
 
Mm uwa ni kero kwa majirani wangu ninapo ishi ni karibu sana na msikiti ukizunguka nyuma tu ya nyumba msikiti upo na majirani wote ni waislam mm uwa na kerwa sana na adhana nilichofanya nimenunua redio nimeunga na spika za kwanzia asubuhi paka asubuhi ni kwaya na sauti ni ya mwisho wanatamani ata waniamishe ila wameshindwa kunakipindi nachoma mauchafu walikuja wakaweka kuruani wakaniambia nimechoma kuruani yao wakataka kuchoma nyumba wakashindwa wamenikomoa walikuja wakaiba redio yangu nipo najipanga ninunue nyingine mto uwe ule ule ikiwezekana niazishe na maombi ya usiku kwangu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom