Kero vituko na vioja vya majirani

Mahondaw

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
62,011
156,361
Hello members!
Bila kupoteza Muda naomba tutoe taabu na matatizo ya jirani zetu ambazo kwa namna moja ama nyingine zinaudhi na kuboa sana .
Hii itasaidia pia hata sisi wenyewe kujihoji na kujua baadhi ya mambo tuyafanyayo huko tunapoishi yanayowaboa wengine.
Nianze tu na baadhi ya vioja vyahapa kwetu :
1: Kuna kaka fulani hapa anaishi na mpenzi wake. Inaonekana huyo kaka anapenda sana kufanya tendo mara kwa mara kuliko kawaida. Yani akishinda kwake hio siku mpenzi wake ana shughuli pevu. Sasa sijui mkewe sijui mpenzi wake nae hana hata siri.. Mambo yao yandani anayaanika sana nje. Yani hakuna tusichokijua ndani yao Muda mwingine unamsikia kabisa mwanamke anavopinga na kukataa tendo kwa nguvu Muda mwingine wanavutana kweli mke anatoka mbio kwenda mtoni anakaa huko masaa kibao makusudi.
2. Mwingine tena anaeza kuta mtu upo zako kwako umejiwekea kamziki Kako sauti ya wastani tu. Hapohapo yeye ataenda kwake atawasha sauti kubwa kiasi kwamba utahis ngoma ya sikio inachomoka. sasa hapo kunakua na miziki miwili tofauti moja ndo sauti kubwaaa. Mbaya zaidi anaeza washa halafu anafunga mlango huyoo anaondoka. Mtu unaamua tu kuzima yako na kusikiliza yake make inaonekana kama mashindano vile.
3. Mwingine alitakaga kunibaka akaenda kunigeuzia kibao kwa mkewe eti mimi ndo namfosi kumtaka kimapenzi. Hii imejenga uadui mkubwa sana kati yangu na mkewe mpaka nashindwa kuelewa .
Human beings are very complex kwakweli nyie acheni tu

Toa maoni na vioja vya majirani zako.
 

Attachments

  • IMG-20170202-WA0010.jpg
    IMG-20170202-WA0010.jpg
    54.6 KB · Views: 165
Ukiishi mjini hasa kwenye nyumba za kupanga tabu tupu, mimi sijawahi experience maisha ya nyumba za kupanga zaidi ya kuishi na majirani zangu wenye miji yao kiasi kwamba jirani akisogea kwenye mji wako huwa ni kwa sababu maalumu aidha kuunguliwa moto au matatizo mengine ya kijamii kama hayo..I wish siku moja nije mjini nifanye simple research hasa kwa wapangaji na visa vyao hah hah
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom