Uchafu wa wasafiri kwenye Magari ya Umma

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,560
1,444
HIvi mtu anatokaje asubuhi hajapiga mswaki, kuoga, kuvaa nguo safi?

Yaani unakuta mtu anaingia kwenye gari ananuka kikwapa mdomo makalio mpaka mtu unaogopa kukaa nae.

Hii kitu huwa inanikwaza sana tena sana halafu chakushangaza ni mtu mzima kabisa na anataka aanze na kuwaongelesha watu na mswaki hajapiga.
 
Magari ya
Dar Kigoma
Dar Bukoba
Dar Dodoma Yale ya Bei powa.
Mbeya Tabora Mwanza
Muda mrefu sijapita Mbeya Sumbawanga kwa hivo Sina taarifa kamili.
 
Back
Top Bottom