BansenBurner
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 6,809
- 5,784
Kweli kabisa tbl tcc ndio kampuni bora kwa ulipaji kodi" nadhani ata ww unachangia kodi kupitia tbl 'gambe' hahahaha hahahah ujue ndo Inaendesha nji hii Pombe na fegi
Kweli kabisa tbl tcc ndio kampuni bora kwa ulipaji kodi" nadhani ata ww unachangia kodi kupitia tbl 'gambe' hahahaha hahahah ujue ndo Inaendesha nji hii Pombe na fegi
10. Waislam kubaguliwa katika ajira, elimu na sekta mbalimbali kwa kisingizio hawana Elimu ya mazingira eti wana Elimu ya akhera tu(elimu ya madrasa tu). Takwimu zinaonesha vyuoni waislamu25% wakiristo75%. primary na sec waislam75% wakiristo25%[/QU
eti nini? ina maana wakati wa interviews wanakatwa kama lowasa alivyokatwa na ccm ama ni uvivu wao wa kwenda huko vyuoni khaaa hizi asilimia ulizipata wapi loh ww ni muongo kazania watoto wako waende shule wacha kuzubaazubaa halaf useme umebaguliwa
Tena story zao ni majungu, kuwasema watu, kutongoza wake za watu, kujidai wanamjua kila mtu hii Tabia ya Umbea ni kero kubwa sana.Pia na hizo bar zifunguliwe kwa muda maalum. Asubuhi ni muda wa kazi sio sa tatu asubuhi unakuta watu wako bar wanagonga safar na viroba
Hii nilitaka niiseme nikasita kidogo nikiogopa wadau mtanishukia kuwa simpendi mungu,nashukuru kumbe tupo pamoja.sio bar tu na makanisa Ya Ajabu ajabu Wanakuwa watu 2 wameweka yale maspika ya disco wanawasha kwa sauti mpaka mwisho aghrrrrr nampenda Mungu lakini kuna wakati W a Mungu na wakati unabidi Tufanye kazi
watanzania kukosa faida ya vyama vingi kwa kulazimisha utawala wa ccmNaamini timu nzima ya #WachapaKazi wa Magufuli wapo tayari kuchukua kero zetu #Watanzania na kuzifanyia kazi bila kusita.
Hivyo basi, tuweke kero za msingi hapa.
Mimi naanza na hizi;
1. Mpasuko unaosababishwa na tofauti za kiitikadi.
- Tuweke Utanzania mbele kuliko itikadi.
2. Ufisadi wa kutisha
- viporo vyote vya ufisadi vifanyiwe kazi na mfumo uimarishwe.
3. Bei Kubwa ya Umeme
- Mikataba ya umeme ipitiwe.
4. Miundombinu
- Sehemu kubwa ya Tanzania bado haina miundombinu ya barabara, maji, umeme nk.
5. Mazingira
- Mazingira yetu yanaathiriwa sana na kelele za muziki wa ma bar na vilabu, uchafu, ujenzi holela nk.
6. Mfumo wa Uchumi
- Uchumi wetu umeshikiliwa na unanufaisha tabaka fulani la wachache na wageni kutokana na serikali kutosimamia vyema fursa zinazojitokeza.
7. Madawa ya kulevya
- Madawa ya kulevya yanaua nguvu kazi ya taifa letu.
8. (Endelea ........ )
Hilo jipu la bar ni kubwa sana maana huko bar sasa ni vijiwe vya Umbea majungu na story za kuwajadili watu, watu sasa wakiwa bar hawana story za maana tena wamebakia kuwa wambea tu hakuna cha maana wanachoongea wengine wakilewa hutoa siri za mambo yao ya ndani huku miziki ya sauti kubwa ikiwa kero kwa majirani.Mkuu hili la kubadili nyumba kuwa bar huku jirani ni nyumba za kawaida ndio jipu uchungu hasa!ni shida kiongozi.
hili jipu ni kubwa hata madaktari wa india hawawezi kulitumbua Kwani Tanzania Upinzani umebakia kuwa ni picha ya kuonyesha ulimwengu kuwa kuna demokorasia lakini nyuma ya pazia Tanzania Bado ni Serikali ya chama kimoja milele.watanzania kukosa faida ya vyama vingi kwa kulazimisha utawala wa ccm
Mkuu pia humo kwenye bar wateja sasa hawana story za maana wamebakia kupiga umbea na kuwajadili watu na michepuko, kwa style hii ni vigumu Nchi kupiga hatua hizi kero ni kubwa lakini wenye kero hawana msaada wamebakia kuumia tu.Hii ni shida.
Yaani mtu anajiamulia tu anabadilisha nyumba yake inakuwa bar, kelele za muziki usiku na mchana
WANAOKAA KWENYE HIZO NAFASI ZA UKATAJI NI CHRISTINS ONLY MI SIAMINI MAMBO KAMA HAYA ETI WANAKATWA AU NI ALAMA HAZITOSHI...MMMMHMuongo vipi wakati takwimu zaonyesha hivyo.
Wewe ongea kwa takwimu Fanya utafiti.
Wanakatwa interview na kabla ya kupata cheti yaan wanatakiwa wasifike chuo kikuu ndio maana wanapungua kila level ya elimu ( msingi.olevel.a level.university)
Watanzania ni mabingwa wa kujadili watu Bar hata Umbea na majungu hawana mpinzani lakini likija suala la kuchapa kazi wanakuwa wa mwisho.Kelo kubwa kuliko zote ni UZARENDO watanzania sio wazarendo ndio maana nchi hii imekua shamba la bibi na kutufanya kua ni moja ya watu wa ajabu dunian.
huu sasa ni Udini hii nayo ni kero piaWANAOKAA KWENYE HIZO NAFASI ZA UKATAJI NI CHRISTINS ONLY MI SIAMINI MAMBO KAMA HAYA ETI WANAKATWA AU NI ALAMA HAZITOSHI...MMMMH
🙁INAUDHI SANA MBAYA ZAIDI UNAKUTA HAYO MABANDA YAPO KATIKATI YA NYUMA ZA WATU MENGINE YANAPIGA MUZIKI USKU KUCHA MHHii nilitaka niiseme nikasita kidogo nikiogopa wadau mtanishukia kuwa simpendi mungu,nashukuru kumbe tupo pamoja.
Usumbufu wakati wa kupata Hati za kumiliki kiwanja huko kuna kero nyingi zikiwemo za watu kuporwa viwanja, kutapeliwa nk.Migogoro ya ardhi
UNAMAANISHA MM NI MDINI? AMA SIELEWI?Hu
huu sasa ni Udini hii nayo ni kero pia
Changamoto ktk secta ya afya hasa ktk huduma na matibabu kwa ujumla hasa madawa