Ke
kero kubwa hapa ni Watanzania wengi kukosa uaminifu pia wengi hugushi vyeti na wengine husoma kijanja janja kwa kununua mitihani au kuiba majibu na rushwa ya ngono nk, kuna wasomi feki wengi wanamiliki vyeti pasipo kuwa na Taaluma stahiki kichwani, Hii kero ya wasomi feki, watu kusoma kwa kukariri, kuiba mitihani itizamwe kwa jicho la tatu huenda ikawa ni kero namba one Tanzania.Lingine swala la wahamiaji haramu. Tunako elekea vijana watakosa kazi kabisa. Haiwezekan mwekezaji anakuja alafu anaajiri watu wote toka nje ya nchi. Wakati anaomba kuwekeza anakuja na sela nyingi tukijua kuwa ni mtu mwema. Kumbe ametumwa kwao aje awatafutie rai wengine toka huko atokako nafasi za kazi. Hii ni aibu kubwa sana kwa taifa. Leo hii huwezi kufanya kazi nchi za wenzetu kama si rai. Najua watajitetea sana kuwa ni ma expart. Lakin wachunguzen sana maana washajulia Tanzania kuwa ni shamba la bibi