KERO: Bole International Airport - Addis Ababa

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
27,921
Reaction score
39,107
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama kariakoo, restaurant bei za ajabu ajabu, cancellation kama kawa, vyoo vichafu, bora kukwea FLY DUBAI au kupitia KIGALI ama NAIROBI ukakwee CHINA SOUTHERN AIRLINES.

NB: Wizara - Mambo ya Nje tafadhali ongeeni na CHINA SOUTHERN AIRLINES waje mpaka DAR angalau.
 
Nimecheke kweli kwa hilo neno la SAIBABA
 
ethiopian ni watu wa ajabu kuanzia kwenye ndege kwenyewe, yaani vile vidada vichoyo balaa vinakupa chakula kiduchuu, hakuna kinywaji cha maana zaidi ya maji, maza fanta na cocacola abiria wa safari ndefu ukifika basi pale uwanjani kwao DUTY FREE shops zao wametandaza ile mitandio tu ya ki-ethiopia tu, sisi tunataka pombe tupotezee muda safarini mnatuuzia mitandio, ya nn sisi?
NB: WIFI mpaka kununua 10 USD dakika 30 tu. Sheeda wallahi!!
 
Back
Top Bottom