Ehud
JF-Expert Member
- Feb 12, 2008
- 2,685
- 338
Naomba tujikumbushe hii habari ya mpango wa Siri wa Mzee Kenyata kutaka kuwahamishia Wakikuyu nchini Tanzania kama jibu la kutatua tatizo la ardhi nchini Kenya. Hii ilitoka kwenye gazeti la Business Daily la Kenya la tarehe 9 November 2009.
Wakati viongozi wetu wakizidi kusonga mbele na EAC yao; tuwe makini na hila za Wakenya....mpango huu wa mwaka 1963 ullikuwa uwawezeshe Wakikuyu kuhamia Mpanda huko Mkoani Katavi....kazi kwenu kina Sitta.
Seeds of Discord: the secrets of kenya's land settlements