Kenyatta ni kaka wa taifa la Kenya

Kenyatta ni kaka wa taifa la Kenya

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
18,272
Reaction score
17,570
Kutokana na kuwa mtoto wa Rais wa kwanza Kenya Mzee Jomo Kenyatta (Baba wa Taifa), Uhuru Kenyatta analiona taifa la Kenya na Wakanya wote kama ndugu zake wa damu. Ndiyo maana Kenyatta anawapenda watu wake wote bila kujali vyama, dini wala kabila. Hata kukubali Mahakama kumshika sharubu zake ni muendelezo wa dhana na imani yake hiyo ya ukaka wa taifa la kenyatta. Alizaliwa na kukulia Ikulu anajiona kama mtu asiyeweza kulibomoa taifa kijinga.

Dhana hii ya ukaka wa taifa pia tuliiona kwa Rais Amani Karume kule Zanzibar alipoamua kurudisha umoja na amani ya taifa lake kwa kushirikiana na CUF katika kuiongoza Zanzibar, kumalizia kuyajenga magorofa yaliyoachwa na baba wa taifa la Zanzibar mzee Abeid Karume na kutokomeza malaria Zanzibar.

Kenya iko salama zaidi kwenye mikono ya Uhuru kenyatta kuliko mikono mingine.
 
Kenyatta siyo kama unavyotaka watu tumuone.
Bila kupata shuruba za ICC yule jamaa pamoja na Rutto leo wangefanya madhambi mabaya sana Kenya.
Wakupongezwa hapo ni Mahakama ya Kenya na Wakenya wenyewe kwa kuchukua maamuzi magumu ya kutotaka kupelekeshwa na wanasiasa wa hovyo hovyo. Na ule ndiyo mfano dhahiri wa umuhimu wa Utawala wa sheria ndani ya nchi: Katiba na Mihimili ya Dola inafanya kinachotakiwa kufanywa.
 
Mkuu h

ata Sudan, Sudan Kusini. Tanzania, Somalia, DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, South Afrika, Egypt, Senegal, nk kuna Mahakama, mbona hazifanyi kazi kama hii ingawa chaguzi zao zina dosari nyingi?. Kule Sudan Al Bashir anatafutwa hata leo hii na ICC mbona yuko madarakani hadi kesho? Kenyatta ni kaka wa taifa bhana hakuna ubishi, kwani angeweza kuwapoteza majaji wote kama angetaka kufanya hivyo. Kwani Rais wa Misri wa sasa aliingiaje madarakani? si yupo hadi sasa?
 
Kenyatta is a thief and a killer.

Not otherwise. Please, don't mislead the world.

Everyone with sound mind knows what I wrote.
 
Mkuu h

ata Sudan, Sudan Kusini. Tanzania, Somalia, DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, South Afrika, Egypt, Senegal, nk kuna Mahakama, mbona hazifanyi kazi kama hii ingawa chaguzi zao zina dosari nyingi?. Kule Sudan Al Bashir anatafutwa hata leo hii na ICC mbona yuko madarakani hadi kesho? Kenyatta ni kaka wa taifa bhana hakuna ubishi, kwani angeweza kuwapoteza majaji wote kama angetaka kufanya hivyo. Kwani Rais wa Misri wa sasa aliingiaje madarakani? si yupo hadi sasa?

Huwezi kulinganisha Mahakama za Kenya na Mahakama za nchi kama Zimbabwe au Rwanda.
Nchini Kenya Mahakama ni Muhimili ambao umewekwa Kikatiba na unafanya kazi kwa kufuata Sheria za nchi.
Mahakama inawajibika kwa wananchi inaowatumikia na siyo Serikali, Chama au Kikundi cha watu fulani fulani.

Nchi kama Rwanda yakitoka maamuzi kama yale basi nakuhakikishia hao majaji watakumbwa na misiba mzito sana.
Hawatapona wao pamoja na familia zao kabisa: Kenya kiongozi unaweza kufanya ujinga lakini ujue ukivuka mipaka lazima yatakutokea puani. Kenyatta anaujua ukweli kuhusu Wakenya ndiyo maana kuna upuuzi hawezi kufanya.
 
Huwa najiuliza sipati jibu; was it just by coincidence that the name of the nation resembles that of her first leader? Kenya <==> Kenyatta? Similarly, familia ya Al-Saudi ndio inayotawala Saudi Arabia!
 
Kutokana na kuwa mtoto wa Rais wa kwanza Kenya Mzee Jomo Kenyatta (Baba wa Taifa), Uhuru Kenyatta analiona taifa la Kenya na Wakanya wote kama ndugu zake wa damu. Ndiyo maana Kenyatta anawapenda watu wake wote bila kujali vyama, dini wala kabila. Hata kukubali Mahakama kumshika sharubu zake ni muendelezo wa dhana na imani yake hiyo ya ukaka wa taifa la kenyatta. Alizaliwa na kukulia Ikulu anajiona kama mtu asiyeweza kulibomoa taifa kijinga.

Dhana hii ya ukaka wa taifa pia tuliiona kwa Rais Amani Karume kule Zanzibar alipoamua kurudisha umoja na amani ya taifa lake kwa kushirikiana na CUF katika kuiongoza Zanzibar, kumalizia kuyajenga magorofa yaliyoachwa na baba wa taifa la Zanzibar mzee Abeid Karume na kutokomeza malaria Zanzibar.

Kenya iko salama zaidi kwenye mikono ya Uhuru kenyatta kuliko mikono mingine.
Umeanza Kenya afu ukaja Zenji. Tumekuelewa, Makongoro Nyerere for presidency elfu mbili na ngapi huko... (Jaza nafasi iliyoachwa wazi).
 
Inadaiwa ananuka damu ya wakenya kwa kuratibu machafuko ya 2007/2008
 
Back
Top Bottom