Jay456watt
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 10,356
- 7,992
Picha hiyo ya mitindo ilisambazwa na mashabiki wengi na sasa Rihana amesema kuwa ana mpango kama huo katika mtandao wake wa Twitter.
Mashabiki wamependa sana wazo hilo.
Lupita naye alijibu katika mtandao wa Twitter akisema mimi naunga mkono pendekezo hilo iwapo umeunga mkono.
Zaidi ya mashabiki 200,000 walilipenda chapisho hilo la Twitter na mapema siku ya Jumatatu Rihanna alijibu ''I'm Pit'z''-jina la utani katika filamu yake ya Star Wars.
Haki miliki ya pichaTWITTER
Image caption
Maoni ya mashabiki kuhusu picha hiyo katika Twitter
Watu wengine 99,000 walilipenda chapisho hilo na sasa nyota hao sasa wameunga mkono pendekezo hilo .
Image captionBaadhi ya mashabiki waliopendekeza wazo la filamu ya nyota hao wawili
Wazo la filamu kutokana na picha hiyo lilionekana katika mtandao wa Tumblr wakati picha hiyo ilipochapishwa kwa mara ya kwanza ,lakini sasa wawili hao wamejumuika na sasa inaonekana kwamba mtandao wa Twitter ulitengeza filamu.
Image caption
Rihanna alijibu kwa kusema kuwa inawezekana
Lakini huku mashabiki wakichangia ni nani anayefaa kupata sifa hizo kwa wazo hilo na kupata faida.
Mashabiki wengi wa Twitter hatahivyo wanegependa wazo hilo kufanikiwa.
Picha ya Rihanna na Lupita Nyong'o yazua wazo la filamu - BBC Swahili