Kenyans: Ningependa Kumfahamu NYASHINSKI

mzama chumvini

JF-Expert Member
Mar 14, 2016
730
641
Wowote Anayemfahamu Huyu Rapper!! Ningependa Hapa Historia Yake Hata Fupi Tu Au Vitu Ving Kumhusu Yeye!! Nimeipenda Nyimbo Na Video Yake Ya " NOW YOU KNOW"
Msaada Tafadhari
 
Nyanshiki ni msanii wa Hip Hop kutoka Kenya aliyekuwa miongoni mwa wasanii wa kundi la Kleptomaniax (Collins Majalle aka Collo,Nyamari Ongegu aka Nyanshiki na Robert Manyasa aka Roba) waliotamba na vibao kama Tuendelee,Swing Swing,Haree,Psycho na nyingine nyingi .Mwaka 2009 Nyanshiki alienda US ikasababisha Kleptomaniax ivunjike Collo na Roba wakawa wanafanya solo project



Nyanshiki amerudi Kenya kutoka US na alitoa track ya akimshirikisha Namelesss inaitwa Letigo na hivi karibuni ametoa track yake inayoitwa Now you know .Kuna tetesi Kleptomaniax watarudi na kutoa album


 
Thanx A Lot!!! Braza Bt Kuna Sehemu Kweny Now You Know Anasema "....Amepotea Kama Zile Mbegu Walipanda Na Kanyali"
Hapa Ana Maana Gan?
 
Thanx A Lot!!! Braza Bt Kuna Sehemu Kweny Now You Know Anasema "....Amepotea Kama Zile Mbegu Walipanda Na Kanyali"
Hapa Ana Maana Gan?
Kanyari ni mchungaji aliekuwa anawadanganya wakenya kupanda mbegu(kumpa hela wakitegemea kupata faida akaingia nazo mitini) .Ni kama DECI hapa Tz watu walivyokuwa wanapanda hela wakitegemea kupata faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…