mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 641
Wowote Anayemfahamu Huyu Rapper!! Ningependa Hapa Historia Yake Hata Fupi Tu Au Vitu Ving Kumhusu Yeye!! Nimeipenda Nyimbo Na Video Yake Ya " NOW YOU KNOW"
Msaada Tafadhari
Msaada Tafadhari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me Toi broNaikubali sana hii ngoma
Thanx A Lot!!! Braza Bt Kuna Sehemu Kweny Now You Know Anasema "....Amepotea Kama Zile Mbegu Walipanda Na Kanyali"Nyanshiki ni msanii wa Hip Hop kutoka Kenya aliyekuwa miongoni mwa wasanii wa kundi la Kleptomaniax (Collins Majalle aka Collo,Nyamari Ongegu aka Nyanshiki na Robert Manyasa aka Roba) waliotamba na vibao kama Tuendelee,Swing Swing,Haree,Psycho na nyingine nyingi .Mwaka 2009 Nyanshiki alienda US ikasababisha Kleptomaniax ivunjike Collo na Roba wakawa wanafanya solo project
View attachment 362916 View attachment 362917
Nyanshiki amerudi Kenya kutoka US na alitoa track ya akimshirikisha Namelesss inaitwa Letigo na hivi karibuni ametoa track yake inayoitwa Now you know .Kuna tetesi Kleptomaniax watarudi na kutoa album
View attachment 362921
Kanyari ni mchungaji aliekuwa anawadanganya wakenya kupanda mbegu(kumpa hela wakitegemea kupata faida akaingia nazo mitini) .Ni kama DECI hapa Tz watu walivyokuwa wanapanda hela wakitegemea kupata faidaThanx A Lot!!! Braza Bt Kuna Sehemu Kweny Now You Know Anasema "....Amepotea Kama Zile Mbegu Walipanda Na Kanyali"
Hapa Ana Maana Gan?
Miziki ni bombaKleptomaniax nakumbuka hile swing swing