kookolikoo
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 2,751
- 595
ni kwa ajali ya ndege huko ng'ong. alikuwa na naibu wake ambaye pia kafariki.
chanzo : radio uhuru breaking news
chanzo : radio uhuru breaking news
Nashukuru kwa ufafanuzi, but niliyemquote aliandika George Saitoti aliyekuwa makawa wa Rais wakati wa serikali ya Moi, nikadhani hivi sasa hana cheo tena. Got you men!
Mbona kuna mdau kishaitupia humu ndani kitambo?kabla ya kupost plz muwe mnajiridhisha kwanza kujua kama iko posted or not!Habari za hivi punde zinaelezea ajali ya helikopta ya polisi katika msitu wa Ngong nchini Kenya.Helikopta hiyo imeteketea kwa moto na kupoteza maisha ya abiria wote saba waliomo akiwemo waziri wa Mambo ya Ndani mh.George Saitoti.Mkuu wa polisi aelekea eneo la tukio.Chanzo cha ajali hiyo mbaya bado hakijajulikana.Vyanzo vya habari:BBC,KBC na K24.
Hata mimi nimesikia BBC wanasema waliokuwemo kwenye helicopter ni Waziri wa Usalama wa Raia Prof. George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode na maafisa wengine wa Wizara yao,na wote wamekufa...
Kifo cha Prof. Saitoti ni pigo kubwa sana kwa Siasa za Kenya na nchi ya Kenya kwa ujumla..
pia alikuwa moja wa presidential aspirants.
ni kwa ajali ya ndege huko ng'ong. alikuwa na naibu wake ambaye pia kafariki.
chanzo : radio uhuru breaking news