Kenyan Security Minister George Saitoti Reported Killed

CDPH-2680-150-s.jpg

Kenya Police Air Wing becomes first African customer to operate Eurocopter's enhanced AS350B3e helicopter | Eurocopter Press
 
KBC (Television ya Taifa ya Kenya) wanaugua ugonjwa sawa na wa TBC yetu. Hadi dakika hii KBC wanaonesha mambo ya muzuki wakati Taifa limekumbwa na msiba mkubwa! Citizen TV ndio wanaonesha habari ya ajali lakini wao KBC ni muziki! Hii inanikumbusha ajali ya Spice Islander na TBC. Inaudhi.
 
sasa wewe unaleta habari halafu unadai mwenye habari atujuze! kwa nini unakurubuka na kukimbilia JF na vipande nusu nusu vya habari au una hofu utakuta mwingine kaleta uzi huu??be sensible!!
 
Waziri wa Usalama wa ndani Profesa George Saitoti na Naibu wake Orwa Ojode wamefariki dunia katika ajali ya helikopta ya polisi iliyotokea leo asubuhi katika eneo la Kibiku, karibu na mji wa Ngong takriban kilometa ishirini kutoka mji mkuu wa Nairobi.
120311111028_bbc_breaking_news_304x171_bbc_nocredit.jpg

Abiria wote saba waliokuwa kwenye ndege hiyo wanaarifiwa kuteketezwa kwa kiasi cha kutoweza kutambulika.
Bwana Saitoti na maafisa wengine wa juu katika wizara ya usalama wa ndani walikuwa wakielekea katika eneo la Sotik kwa mkutano wa usalama. Saitoti alikuwa miongoni mwa wanasiasa mashuhuri nchini Kenya waliokuwa wakipania kugombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu ujao.
Walioshuhudia ajali hiyo wamesema waliona helikota hiyo ikizunguka angani kabla ya kuanguka katika msitu wa Ngong. Polisi wamezingira eneo la ajali hiyo na kamishna wa polisi Mathew Iteere aliyepo katika eneo la ajali anatarajiwa kutoa taarifa kamili kuhusiana na ajali hiyi
 
habari mbaya hii.

R.I.P.
 
R. I. P. Saitoti. Umekuwa waziri tangu nipo primary hadi nimemaliza chuo na kazi kwa miaka ya kutosha. Angalau Mungu amekuondoa Madarakani maana hata ungefikia miaka mia bado usingeridhika! Umetuthibitishia kuwa ni kweli "binadamu hatosheki" na "Mungu ndiye muweza wa yote". Byebye.
 
kwani hiyo choper si kama ile ya chadema.!!!
Nao hawana muda, utasikia siku moja, Mbowe, Slaa, Zitto, Lema na Tundu Lissu is no..................due to helicopter cra........., they were going to loot M4C spirits in western zone.!
 
Dah! RIP Mmasai Prof. Saitoti.

Natumaini Olaigwan Mkuu wa Tanzania (manywele) atatuwakilisha kwenye msiba wa Olaigwan mwenzake wa upande wa pili.
 
Ila jamaa (saitot) alikuwa na mawe ile mbaya, kuna kijana wake alikuwa anasoma pale Arusha modern school kila mwisho wa week kanarudi kwao kwa choper kwenda kula bata.
 
Back
Top Bottom