Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,852
- 103,715
Aisee bro Kimweri yupo wapi?Hahahaha.... kenyaforum ilikuwa katika ubora wake.
kimweri pia alifanya kazi kubwa sana hapa kenyaforum.maandiko yake yanabaki kama alama.vizazi vijavyo watakuja kuyatumia kama rejea(reference).
sijui JPM kampa nafasi nyeti maana sioni akiwa active na jf.
nakupenda mimi