Kenya wenye katiba mpya na ambapo tozo la miamala halipo nako diseli na petroli imepanda bei

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946

Kenyans voice fury over fuel price hikes​

Kenyans voiced fury on Thursday at a jump in fuel prices, which threaten to pile on the misery for a population already suffering economic hardship because of the Covid-19 pandemic.

Fuel prices are now at record levels after the country's energy regulator this week put an end to subsidies on petrol, diesel and kerosene that were introduced earlier this year to ease anger over the surging cost of living.

The East African economic powerhouse has suffered huge job losses as gross domestic product shrank last year for the first time in three decades, with Covid-19 battering usually strong sectors like tourism.

The scrapping of the subsidies, which took effect on Wednesday, increased the price of petrol in Nairobi by about six percent to a maximum of almost 135 shillings (about $1.20 or 1.00 euro) a litre.

And the cost is set to rise further with the introduction of a near five percent excise duty on fuel from October 1.

"The increase in fuel is just ridiculous, it shows that the government is not in touch with the reality on the ground, how do they want us to survive," said James Mwangi, 42, a second-hand car dealer in Nairobi.

"Any increase in fuel prices means an increase in many other things."

Mercilyne Njeri, 35, who works at a five-star hotel in Nairobi, says she is already trying to survive on 60 percent of her usual salary.

"The government is not realistic, you cannot increase fuel prices at a time we are suffering from tough economic times brought about by Covid-19 challenges."

Kenya's Deputy President William Ruto, who is in open conflict with President Uhuru Kenyatta, criticised the decision, warning it will lead to a higher cost of living across the board.

"This is mistaken in the middle of the Covid-19 pandemic," he said, calling for the energy ministry and parliament to address the issue.

- 'We can't breathe' -

The Consumers Federation of Kenya (Cofek) warned of a huge hit on the economy -– "high cost of production, surge in food prices, transport and overall, a higher cost of living".

"The foreign direct investments as well as consumer purchasing power will be driven south for a struggling economy reeling under the Covid-19 pandemic," it said in a statement on Wednesday.

Kenyan consumers pay several taxes on fuel, which account for the vast bulk of the price charged by pump operators.

Kenya's GDP dropped to 10.75 trillion shillings ($98 billion, 83 billion euros) last year and the economy also shed 738,000 jobs, with informal workers such as small traders and artisans bearing the brunt of those losses.

Kenyans are still living under restrictions including a nighttime curfew to contain the spread of Covid-19.

The disease has infected almost 245,000 people in the country including almost 4,950 fatalities, according to official figures.

"Covid made our lives so miserable and now the fuel prices increase has made it even worse," said 27-year-old Kevin Mwanzia, an electronics technician.

"We simply can't breathe, the public transport fare will increase, commodity prices will also increase. How are we supposed to survive?"
 
Meanwhile Tullow wanasema hivi 👇

Screenshot_20210918-072602.png
 
Kupanda kwa mafuta wala hakujasababishwa na tozo wala Kalemani, wale ndugu wawili wanaomiliki visima vya mafuta uko Saudia ndiyo wanamgogoro na ao wasipoelewana tu bei ya mafuta soko la dunia inapanda, ajabu ni kuwa Serikali ilikuwa inajua kama mafuta yataendelea kupanda bei nawao wakaja kuweka na Tsh 100! Hapa ndo waliaribu kabisa na ndiyo maana lawama wanabbeshwa wao.
 
Mnakosea sana kuwanyima Watanzania katiba mpya miaka yote hii na kuanza kuokoteza kila aina ya taarifa hasi za Kenya kama kisingizio cha kwanini katiba mpya haiwafai Watanzania. Sijui yote hii huwa kwa ajili ya nani maana hata nyie CCM mtanufaika na matunda ya katiba mpya, buku saba akili zinawahama mkivimbiwa ubwabwa.
 
Mkuu nyie kila mara mnatutishia na hiyo katiba ya kenya kama mfano na sisi tubacheza mpira huo huo- the bottom line ni kuwa pamoja na katiba mpya wana shida kibao kuliko zetu. N nyinyi mnasema shida zetu zote zitaisha tukupata katiba mpya - kumbe uongo
 
Hao Watanzania wanaosota kwenye magereza kisa kuomba katiba mpya, ipo siku mtawaelewa na kuwaona kama manabii.
Mimi nimeishi nchi hii kwenye awamu tofauti, kabla na baada ya katiba mpya, nimeshuhudia namna nchi yetu ilikua ya hovyo kipindi cha katiba mbovu, tuliishi maisha ya hovyo sana kama mlivyo huko kwenu leo hii, na tulikua na watu sampuli yako waliokua wakipinga jitihada zote za kupata katiba mpya.
Lakini leo sidhani kama kuna Mkenya anayeweza kutamani turudi huko, labda vizazi vya leo ambao hawakuonja balaa tuliyopitia.
 
Yaani sisi tunaishi maisha ya hovyo- niambie baada ya katiba mpya nini kimebadirika Kenya?
1. Mnatengeza msivyoweza kula
2. Baado kiasi cha ardhi anachomiliki Kenyata family hakijapungua hata hatua moja
3. bado mnapiga kura kwa ukabila
POOR KENYAN
 
Jitahidi uwe upande mzuri wa historia, kwa sasa umepofushwa hauwezi kuona chochote akili zimegandishwa na hizo buku saba ambazo huwafanya msione chochote. Mimi nakuhakikishia siku Tanzania mkipata katiba mpya mtapiga hatua sana na kuwa kama sisi, leo hii pamoja na kuwa na ardhi kubwa karibia mara mbili ya Kenya na madini mnayo ya kumwaga na vivutio bora vya utalii zaidi ya mataifa yote Afrika lakini bado nyie maskini wa kutupwa, Kenya yetu hii kanchi kadogo na nusu yake kame lakini uchumi wetu unakaribia kuwzidi mara mbili, ni aibu sana.

Huwa inauma sana kuwaona omba omba kama hawa wamejaa Kenya na wote wametokea Tanzania, aibu sana.....naelewa kwa sasa hauwezi kuona chochote maana wewe hapo ni mtumwa wa huo mfumo

Mnakosea sana kuwanyima Watanzania katiba mpya miaka yote hii na kuanza kuokoteza kila aina ya taarifa hasi za Kenya kama kisingizio cha kwanini katiba mpya haiwafai Watanzania. Sijui yote hii huwa kwa ajili ya nani maana hata nyie CCM mtanufaika na matunda ya katiba mpya, buku saba akili zinawahama mkivimbiwa ubwabwa.
Ile harakati ya PUNGUZA mzigo na mabadiliko ya katiba kuweka nafasi ya prime minister imeshia wapi licha ya kuwa na katiba mpya

USSR
 
Mkuu nyie kila mara mnatutishia na hiyo katiba ya kenya kama mfano na sisi tubacheza mpira huo huo- the bottom line ni kuwa pamoja na katiba mpya wana shida kibao kuliko zetu. N nyinyi mnasema shida zetu zote zitaisha tukupata katiba mpya - kumbe uongo
Katiba ya kutengua matokeo ya urais na bado akashinda na shida zikarejea tena kwa Kasi

USSR
 
Yaani sisi tunaishi maisha ya hovyo- niambie baada ya katiba mpya nini kimebadirika Kenya?
1. Mnatengeza msivyoweza kula
2. Baado kiasi cha ardhi anachomiliki Kenyata family hakijapungua hata hatua moja
3. bado mnapiga kura kwa ukabila
POOR KENYAN
Wewe jamaa unajijibu kampe hizo taarifa gaidi mbowe
USSR
 
Back
Top Bottom