KENYA;- WATU WANNE WAFARIKI BAADA YA GARI KUKANYAGA BOMU MANDERA

Misamiati kwenye dini ya kikristo
Wacha kuhadaa watu


Ninachomanisha, kuna maneno flani yanayotumika katika dini ya kikristo ambayo pengine waislam ama watu wa haya madini mengine hawayajui. Vile vile katika uislam kuna maneno fulani ambayo wakristo na madini mengine hawayajui.

Mfano: ni mwaka jana tu nilikumbana na neno 'zakat', ambayo inaamanisha sadaka inayotolewa na waislamu kuwasaidia wasiojiweza.

Wewe muislam unajua ama kuelewa maana ya maneno kama Catholic, holy trinity, torah, veda, Sanctification, Gita, Mahabarata nk? Hayo ni mambo ya madini mengine wewe huyajui!
 
Back
Top Bottom