Kenya wanapata first consignment ya covid 19 vaccine 2/3/2021

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,386
73,980
Hii ni kwa mujibu wa mahojiano na Mkuu wa kikosi kazi cha kupambana na covid yaliyofanyiika leo na Citizen Tv jioni hii.

Priority ya kwanza ni health workers.

Priority ya pili ni wafanyakazi wanashughulika na makundi ya watu kama polisi, walimu etc.

Na Priority ya tatu ni watu wenye pre disposing conditions.

Sisi vipi? Mzee Magu anasemaje au bado msimamo ni huo huo
 
Tanzania tuna wataalam wetu baada ya miezi michache tutakuwa na chanjo (vaccine)yetu wenyewe. Vyuo walivyosoma hawo wenzetu na watu(vijana) wetu walipita hukohukoi! Meanwhile tuendelee kupiga nyungu!
 
Kwani lazima kuiga kila kitu anachofanya uhuru...ndo wengine tumuige sisi tutafanya kwa wakati wetu tutakapo amua .....usimlazimishe MAGU afanye utakavyo wewe na huyo mkenya mwenzio wa huko kibera
 
Kwani lazima kuiga kila kitu anachofanya uhuru...ndo wengine tumuige sisi tutafanya kwa wakati wetu tutakapo amua .....usimlazimishe MAGU afanye utakavyo wewe na huyo mkenya mwenzio wa huko kibera
Sawa mbongolala wa huko Tandale.
 
Hongera rais wetu kwa hili, tunashukuru ila vipao mbele havijaandaliwa ipasavyo, wangepewa wenye maambukizi mengine kwanza kisha ifuatiwe na hao wengine kama vile wahudumu.
Sisi wengine tutasubiri zamu yetu maana tuko fit kwa sasa tunadunda mitaani buheri wa afya, mdudu bado anatukondolea macho na kutuchora.

Nina uhakika tena kwa asilimia mia 100% kwamba wenye hela zao matajiri Tanzania watazamia huku kisiri na kupokea chanjo hizi kimya kimya maana kwetu hapa baadhi yetu ni mafisadi wa kupitiliza tusiokua na uzalendo. Akiibuka mtu asiyemkenya na kumwaga hela, anapewa chanjo tu.
Japo nawahurumia walalahoi Tanzania, wataendelea kuimbishwa nyimbo za uzalendo dhidi ya corona huku matajiri wakija Kenya.
 
Hii ni kwa mujibu wa mahojiano na Mkuu wa kikosi kazi cha kupambana na covid yaliyofanyiika leo na Citizen Tv jioni hii.

Priority ya kwanza ni health workers.

Priority ya pili ni wafanyakazi wanashughulika na makundi ya watu kama polisi, walimu etc.

Na Priority ya tatu ni watu wenye pre disposing conditions.

Sisi vipi? Mzee Magu anasemaje au bado msimamo ni huo huo
Magumashi kisha sema kuwa chanjo ya korona ina badilisha DNA zenu, na pia ina chapa ya 666
 
Back
Top Bottom