Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,631
- 38,749
Hawapo nyuma kwenye nini? Kupiga picha? Kuvaa nguo? Au?
Kwani Beyonce ni mzuri?Mapaja kama yamechakachuliwa vile, yapo na michirizi fulani hivi, mimi nikiona mwanamke ana mapaja ya hivyo hata akiwaje hata awe mzuri kama Beyonce basi sipati tena hata hisia tena juu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mchagua jembe si mkulimaMapaja kama yamechakachuliwa vile, yapo na michirizi fulani hivi, mimi nikiona mwanamke ana mapaja ya hivyo hata akiwaje hata awe mzuri kama Beyonce basi sipati tena hata hisia tena juu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kata pua uunge wajihi [emoji38][emoji38]Mapaja kama yamechakachuliwa vile, yapo na michirizi fulani hivi, mimi nikiona mwanamke ana mapaja ya hivyo hata akiwaje hata awe mzuri kama Beyonce basi sipati tena hata hisia tena juu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
manengelo ndugu yetu huyo!