falcon mombasa
JF-Expert Member
- Mar 5, 2015
- 9,230
- 9,359
Ukifika mombasa utagundua ulichelewa sana kupata uhondo
...Naona anachokonoa dafu...Namleta kwenu trisha khalid kutoka mombasa
Cc falcon mombasa View attachment 1002695View attachment 1002697View attachment 1002698View attachment 1002699View attachment 1002700View attachment 1002701
Sent using Jamii Forums mobile app
Si amini kama ni mimi nilianzIsha huu uzi hahahaIla huyu demu mkali jamani , Hakya nani [emoji2296][emoji119]
[emoji28][emoji28][emoji28] iko hivyo ,mambo yakishapita unajiuliza hivi nilikua possessed kuanzisha hizi hojaSi amini kama ni mimi nilianzIsha huu uzi hahaha
Nilishmuona live...ni mzuri lakini hayupo soft kama kwenye picha kakomaa.[emoji28][emoji28][emoji28] iko hivyo ,mambo yakishapita unajiuliza hivi nilikua possessed kuanzisha hizi hoja
ila mtoto mkali [emoji119]View attachment 1767241View attachment 1767242
Hahahha ww ulidhani yuko soft? mbona watu wengi hawako soft halafu huyu hajiedit sana ,kuna watu wanaedit mpaka anakua blurred aisee...Nilishmuona live...ni mzuri lakini hayupo soft kama kwenye picha kakomaa.
Mada jingine ukiziona unaweza kataa kama ulizianzisha
Anyway avatar yako huwa nikiiona najuga wewe ustadhat flani....hata kukutania najishtukia[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha ww ulidhani yuko soft? mbona watu wengi hawako soft halafu huyu hajiedit sana ,kuna watu wanaedit mpaka anakua blurred aisee...
saa ingine tunadataga tunaanzisha mada baadae tunajutia