Adilinanduguze2
JF-Expert Member
- Mar 11, 2014
- 1,207
- 1,596
Tatizo :
1. Ndoa ya Uhuru na Raila, imefanya serikali ya Kenya kusinzia nahisi kutakuwa na mambo mengi yatakayopuuziwa huko mbeleni. Uhuru enjoys monopolistic competition
2. Aina ya Ubepari uliotamalaki Kenya. Ameondoka Mkoloni mweupe ameingia Mkoloni mweusi hakuna kilichobadilika ni Mvinyo wa kale ndani ya chupa mpya. Siasa za Kenya baada tu ya kuondoka Mwingereza wananchi wa kawaida walikuwa na matumaini makubwa lakini alivyoondoka Wabantu wenzetu wakaanza kufanya looting ya wealth including land grabbing
Haya ndio matokeo yake
Sent using Jamii Forums mobile app