Kenya Election 2007: Outcomes

Mkuu kilitime, heshima mbele mkuu, hapo unaangalia na sisi utegemezi wetu ni zaidi ya 40%, hivi kwa nini tunaendelea kukubali upuuzi kama huu, wenzetu apo, majirani zatu wamewezaje, sisi tuna laana gani?

For all these years, CCM has fail to convert resources available in this country into a driving force towards economic development that enhence the country self reliance. The current leaders we have are not personally self reliant, how do you expect them to do make otherwise to our nation? Leaders need to change mentally, and feel the pearch of serving the society using resources available in place.
 
Kalamu,

KANU ilikuwa na nguvu sana huko Kenya kabla ya kuanguka. Kuna watu kina Ken Matiba walikuwa wameshagive up baada ya kushindwa 1992 na kusema kuwa KANU haiwezi shindwa election. Suala ni maamuzi tu na hili linawezekana hata Tanzania.

Raila amepata pia msaada wa watu walioko nje ya nchi. Ninakoishi mimi marekani wakenya kibao walichanga karibu dola laki moja kumsaidia Raila ashinde. Watu wengi nje ya nchi walikuwa wamechoka na movement ya ODM ilipata nguvu sana kwa networkin hii.

Bila kutoka nje ya mada, hili hata Tanzania linawezekana na inabidi tu Tanzania tuache udini wa kudai kuwa rais ajaye lazima awe mkristo na tumchague Zitto au Lipumba au Mtikila au yeyote yule anayefaa bila kujali anatoka wapi na dini gani.

Now, that is part of the strategy and genius of Raila I was referring to. Hata ikibidi yeye mwenyewe kujiunga na hiyo hiyo KANU ya Moi (iliyomweka lupango); ili aimalize ndani kwa ndani!

Alipoondoka na LDP yake, the empty shell of KANU was exposed. Bila ya Raila kujiunga na NAK ya akina Kibaki na Ngilu na kuanzisha Narc; pengine Kibaki hadi leo hii u-Rais angekuwa anausikia tokea mbali kama ndoto.

All that needs capable and steady leadership.
 
ahsante sana K-T, kwakweli umekuwa current ni hakuna mfano hata vyombo vyote vya habari tunazozipata ziko nyuma yako lakini kila tulichonacho ndio nao wanarudia tu hakika source unayoitumia ni neutral na inafaa kuhudumia wananchi, viva JF.

pumzika kisha urudi hapa tunakuhitaji kwa kazi kubwa iliyobaki maana kibaki tunataka kujua kweli kura za eneo lake zitatikisa maeneo yote sita?

najua sio kweli lazima kibaki aondoke tu.
 
Friday, 28 December 2007
Update: 12:00GMT 28th December 2007

Raila Odinga has a 6.45% lead over Mwai Kibaki with 30% of the 14.2 million votes cast according to our analysis.

PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTS AS AT 12.00 GMT [30% OUT OF 14.2 MILLION VOTES COUNTED]:-

RAILA ODINGA-2,585,856 (18.09%)
MWAI KIBAKI -1,663,519(11.64%)
KALONZO MUSYOKA-264,783(1.85%)

Raila is leading Kibaki by 922,337 votes.

Analysis by kenyaelections.com study group

source: http://www.kenyaelections.com/newsf....00-gmt-30-out-of-14.2-million-votes-cou.html
 
Other updates are from: http://geraldbaraza.blogspot.com/2007/12/kenya-election-results-live-updates.html

http://www.jumptv.com/en/channel/kbc/

Here is a reliable and scientific prediction of how the various ethnic groups have voted:

Candidate: Mwai Kibaki - Raila Odinga --- Kalonzo Musyoka

Kikuyu --- 2,533,000 ----- 5,000----- 2,000

Luyiah --- 300,000 - ---900,000--- 60,000

Luo--- 2,000 --- 965,000--- 1,000

Kalenjin--- 150,000--- 1,220,000 --- 5,000

Kamba-- -10,000--- 4,000-- - 910,000

Kisii- --200,000--- 310,000 ---- 2,000

Meru --- 615,000---- 2,000 --- 1,000

Other African--- 150,000--- 2,800,000 ---50,000

Non African--- 8,000--- 8,000 ---2,000

Total ----Kibaki- 3,968,000 --Raila-- 6,214,000 --Kalonzo-1,033,000

The margin of error is less than 5%. With this kind of reality, there is no way Hon. Raila Amollo Odinga can be stopped from marching to State House.

Congratulations to the people of Kenya for making their will known clearly. Now the challenge is on the New Government to fulfill their promises to the Kenyans.

Congratulations Your Excellency Raila Amolo Odinga, 4th President of the Republic of Kenya!

Kenyans in Michigan, plans are already underway for a grand celebration of this victory. Please get in touch if you do not want to miss out!!!

Email: geraldbaraza2000@yahoo.com

More Results:
Kenya: Vice President, Ministers Lose Parliamentary Seats

Results just announced on KBC-Channel I say that Raila Odinga has recaptured the Langata seat.

Former Budalangi MP Raphael Wanjala was also defeated by a Nairobi based lawyer Ababu Namwamba of ODM. Namwamba got 11012 votes against Mr Wanjala 7180 votes in an election
 
Friday, 28 December 2007
Update: 12:00GMT 28th December 2007

Raila Odinga has a 6.45% lead over Mwai Kibaki with 30% of the 14.2 million votes cast according to our analysis.

PRESIDENTIAL PROVISIONAL RESULTS AS AT 12.00 GMT [30% OUT OF 14.2 MILLION VOTES COUNTED]:-

RAILA ODINGA-2,585,856 (18.09%)
MWAI KIBAKI -1,663,519(11.64%)
KALONZO MUSYOKA-264,783(1.85%)

Raila is leading Kibaki by 922,337 votes.

Analysis by kenyaelections.com study group

source: http://www.kenyaelections.com/newsf....00-gmt-30-out-of-14.2-million-votes-cou.html

Hizi percentage za hawa jamaa mimi haziingii kichwani??
 
Now, that is part of the strategy and genius of Raila I was referring to. Hata ikibidi yeye mwenyewe kujiunga na hiyo hiyo KANU ya Moi (iliyomweka lupango); ili aimalize ndani kwa ndani!

Alipoondoka na LDP yake, the empty shell of KANU was exposed. Bila ya Raila kujiunga na NAK ya akina Kibaki na Ngilu na kuanzisha Narc; pengine Kibaki hadi leo hii u-Rais angekuwa anausikia tokea mbali kama ndoto.

All that needs capable and steady leadership.

Hiyo ni kweli ila pia lazima ukubali kuwa Raila hakufanya kazi peke yake maana Nyanza haina watu wa kutosha wa kumpa hii nguvu yote aliyokuwa nayo. The guy knows where to be and when na kwa hili nakubaliana nawe kabisa. Siri kubwa inayomsaidia Raila kukubalika hivi ni kuwa so far jamaa hana kashfa ya ufisadi kama wanaccm wetu.

Kitu kingine kilichomsaidia Raila ni kupata inside information every time kukiwa na tatizo. Kuna story nadhani K-T atasema hili pia kuwa Moi alijaribu kumuua Raila 1997 lakini Raila akapata hizo habari jikoni kabla ya mambo. Kwa sasa tayari Tanzania kuna watu wameonyesha kuwa wamechosha na kinachoendelea na wanatoa info za serikali na huu ni mwanzo mzuri wa kuiangusha CCM.

Nina uhakika kuwa siku za ccm zinahesabika na wananchi wa Tanzania hasa wale wanaotolewa kwenye maeneo yao ili makampuni ya kizungu yaibe maliasili ndio wataanzisha haya mabadiliko.

Asante
 
JF ni upupu wa ccm, ukimwaga constructive point wanawashwa palepale, ndo maana hawabanduki. Jamani Uhuru Kenyatta vipi?
 
Duh, badala ya kwenda BBC, CNN au kwenye magazeti ya Kenya yanayopatikana Online ili kupata latest info za uchaguzi wa Kenya niko hapa napata latest kutoka kwa mwanaJF mwenzetu. Ahsante sana Kenyan-Tanzanian. JF imekuwa kubwa na ya kuaminika.
 
Hiyo ni kweli ila pia lazima ukubali kuwa Raila hakufanya kazi peke yake maana Nyanza haina watu wa kutosha wa kumpa hii nguvu yote aliyokuwa nayo. The guy knows where to be and when na kwa hili nakubaliana nawe kabisa. Siri kubwa inayomsaidia Raila kukubalika hivi ni kuwa so far jamaa hana kashfa ya ufisadi kama wanaccm wetu.

Kitu kingine kilichomsaidia Raila ni kupata inside information every time kukiwa na tatizo. Kuna story nadhani K-T atasema hili pia kuwa Moi alijaribu kumuua Raila 1997 lakini Raila akapata hizo habari jikoni kabla ya mambo. Kwa sasa tayari Tanzania kuna watu wameonyesha kuwa wamechosha na kinachoendelea na wanatoa info za serikali na huu ni mwanzo mzuri wa kuiangusha CCM.

Nina uhakika kuwa siku za ccm zinahesabika na wananchi wa Tanzania hasa wale wanaotolewa kwenye maeneo yao ili makampuni ya kizungu yaibe maliasili ndio wataanzisha haya mabadiliko.

Asante

Mwafrika:
Tujipongeze kwa kujua kuwa JK mwenyewe kachukua likizo nzima kuitumia kwenda kozi, hapa hapa JF; kwa hiyo labda tutaona mabadiliko kidogo hapo 2008.

Hilo la wananchi wetu kuporwa mali na mashamba yao kuwapa wazungu; hapa ndipo waTanzania tunatofautiana sana na wakenya. Kungekuwa na vurugu sana, na pangekuwa na vifo vingi tu hadi sasa hivi. Hata huo uwekezaji ingebidi ufikiriwe upya.
Haya ndio mambo mhimu ambayo wapinzani wangeyapigia kelele sana, na inatia moyo kuwa baadhi yao wameanza.

Hata kwenye uchaguzi huu tu, ni vifo vingapi vimekwishatokea! Inaonekana kwamba sisi waTanzania tuna 'tolerance' ya juu sana kwa mabaya tunayofanyiwa na watawala.
 
Naona hata bbc swahili wametangaza kuwa Raila anaongoza wakati huohuo Kalonzo analialia na ukabila baada ya kubwagwa vibaya
 
Uchaguzi huu utasaidia wananchi TZ kuwajengea imani kuwa kumbe inawezekana kukifukuza chama tawala kutoka madarakani. Kwa sababu pamoja na weakness ya upinzani, lazima tukubali pia kuwa imani ni tatizo kwa wananchi walio wengi, wanaona kama vile CCM is insurmauntable na haiwezekani kuitoa. Vilevile kwa matokeo inawezekana kupata some bigwigs kutoka CCM na kujiunga na upinzani. Well, sometimes it is not bad to fantasize and engage in some wishful thinking, is it?
 
Hizi percentage za hawa jamaa mimi haziingii kichwani??

Mr. Zero,

Naona wamekupiga chenga ya mwili. Hizo percentage ni kura alizopata mgombea mpaka sasa gawanya kwa idadi nzima ya waliopiga kura ambayo ni 14.2. Kwahiyo kwa Raila
(2.6M/14.2M) *100 unapata hiyo percentage.

6.45% ya mwanzo ni tofauti kati ya percentage ya Raila na Kibaki.
 
kalonzo hana kitu anabakia kulialia wakati nayeye kwake ndio ameongoza anajitetea eti na wengine wamepata kura kwao wakati anasahau kuwa hao wenzake wana uwezo kumzidi ama ni ujinga usiojiweza kutathmini.
 
Ila pia Kalonzo amefanya vizuri kugawa kura za Kibaki kwa Wakamba maana Kibaki alitegemea sana hizo kura ili kushinda popular vote.

So far mie naona amefanya cha maana ingawa mambo yakibadilika nitamuona kama Nader aliyegawa kura za Gore na kumpa Kichaka ushindi mwaka 2000 USA
 
Duh, badala ya kwenda BBC, CNN au kwenye magazeti ya Kenya yanayopatikana Online ili kupata latest info za uchaguzi wa Kenya niko hapa napata latest kutoka kwa mwanaJF mwenzetu. Ahsante sana Kenyan-Tanzanian. JF imekuwa kubwa na ya kuaminika.

Mimi kuna Wakenya kibao ambao walikuwa hawajui nini kinaendelea, nimewaambia waje hapa kufaidi JF. Magazeti yao mengi yalizidiwa wakati JF bado inatamba tu, JF ni babu kubwa!
 
Nimeamini kazi iliyopo mbele ya kuwaondoa CCM mafisadi inaweza kuwa ngumu kuliko tulivyomwondoa mkoloni,watatoka tuu lakini
 
Back
Top Bottom