Ndani ya EAF itabidi wajione wakenya zaidi kuliko wakikuyu/wakamba/wajaluo etc. Ni kama vile ambavyo ndani ya muungano wetu waunguja na wapemba wanajiona zaidi kuwa ni wazanzibari kuliko uunguja na upemba wao. Wale waliowahi kusomasoma kidogo kuhusu group dynamics wanajua kuwa namna moja rahisi na ya uhakika ya kuua ethnocentrism is to make the group larger so that those groups that thought they were large and powerful can be absorbed in a more powerful and superior group. hii ni principle ambayo imetumika sehemu nyingi kuua primitivity perpetuated by tribalism, sasa sijui kwa nini useme "it is naive".
Kitila, Dar si Lamu, Dua
In the same grounds- hata mauaji ya Rwanda 1994 yasingetokea kama tungekuwa na EAF Rwanda na Burundi wakiwa wanachama! Watutsi wangweza kuu kujichanganya na makabila mengine throuh migration na kuhamia Tz, Uganda n.k Wahutu na Watutsi wangejitambua zaidi kama Rwandese.
We need a strong EAF kupunguza matatizo ya ethnic tensions in the region kama ilivyotokea Kenya!
Why are we so sckeptical on the benefits of intergration? Kama sii Muungano may be leo tungekuwa tunaongelea Pemba na Unguja kama nchi- angalia Comoros na matatizo yaliyopo!
The more we delay EAF- the worse! Sababu za kiuchumi ziwe secondary!
Kwani ndoa faida ni za pesa tu?? Kuna ulinzi, watoto, n.k. Mapenzi ya pesa saa ingine hayadumu!
Waungwana,
Mimi naona tusijidanganye na mambo ya EAF mpaka pale nchi wanachama zitakapokubali misingi ya demokrasia pamoja na utawala bora.
Pension ya amani ni fairness and a just system, sasa hata tuwe kwenye muungano wa Afrika nzima, kama kwenye majimbo yetu, kutakuwa na watu kama akina Kibaki, Museven, au hata Mkapa, ambao wako tayari kuua watu ili kulinda madhambi yao ya wizi, basi hizo vurugu zitatokea tu.
Zitaacha kuwa za nchi na sasa zitageuka kuwa za majimbo.
Kama tungelikuwa tumeuungana kwenye EAF, je mambo yanayotokea Kenya sasa, tungeyhazuia vipi?
Tufanye kama wenzetu wa EU, tutengeneze misingi ya utawala bora ambayo inakubaliwa na wananchi wetu walio wengi. Nchi isiruhusiwe kuingia mpaka imetimiza hiyo misingi yote.
Kwasasa sidhani kama hiyo EAF itasaidia. Labda tuweke nguvu kwenye kushirikiana kiuchumi kabla ya kufikia federation yenyewe.
Mfano mzuri ni mauaji ya Pemba na Zanzibar, pamoja na muungano wetu wa miaka 40, mbona Jamhuri ya Muungano wa tanzania haikuweza kuzuia hayo mauaji? badala yake ndio ilikuwa inapeleka majeshi kwenda kuua wananchi waliokuwa wanaandamana kupinga wizi wa kura.
Mtanzania,
EAF tusubiri hadi lini? We have waited 45 years -so what have benefited! Countries are coming together all the world- leo EA ni masikini na bado tunaogopa!
If EAF ingetokea 1960s leo kiuchumi na kisiasa tungekuwa mabli zaidi! Mawazo yale yale aliyosema Nkrumah.. "Afrika we unite or else we perish"
Hatuhitaji uchumi kutengemaa kwanza kama EU- tuungane tu -tuwe na sarafu na raisi na jeshi moja!
Ktk utengano wetu, ndo wakubwa wanatuchezea wanavyopenda!
I hope tungeungana hata leo, ili haya mambo ya Kenya yasije kujtokea tena! Wakikuyu kama wakipenda waje Tz sii kama wakimbizi ila kama Eastafricans- na Wachagga waende Kenya!
Dar sii Lam, Kichuguu
I am optimist- ktk EAF kwa vile Soviet Union na Balkans hawajafanikiwa ndo tusite? Hapana haya mazingira tofauti! EAF na EU ni tofauti sana hata kiuchumi!
We do it and perfect as we move on!
Bado jibu sijapata -tusubiri hadi lini? sasa ni 45 years! Naona tumepoteza mda mwingi!
Tuwe optimistic- hali ya Kenya isiturudishe nyuma!
In total tuko watu 120 m- this is a large and significant population hata tu for the internal market!
Bado jibu sijapata -tusubiri hadi lini? sasa ni 45 years! Naona tumepoteza mda mwingi!
Tuwe optimistic- hali ya Kenya isiturudishe nyuma!
Fighting has erupted in another town in western Kenya, say reports. Reports suggest at least nine people have been killed in brutal inter-tribal bloodshed in Naivasha. Gangs of youths blocked the main road. The town is about 60km (37 miles) south of Nakuru - also the scene of recent fighting - and sits on the main road between Nakuru and the capital Nairobi.
Former UN chief Kofi Annan has been holding talks to try to end the month-long election deadlock in Kenya.
He was meeting opposition leader Raila Odinga in Nairobi on Sunday. Mr Annan visited the violence-racked Rift Valley on Saturday, and later said he had seen tragic, heart-wrenching scenes, and "gross and systematic abuse of human rights".
Mr Odinga accuses his rival, President Mwai Kibaki, of stealing December's presidential election.
Unrest has left at least 750 people dead and about a quarter of a million homeless.
Hacked to death
The fighting in Naivasha is thought to have broken out late on Saturday, says the BBC's Adam Mynott in Nairobi.
Reports are confused but he says at least nine people are feared dead - hacked to death by mobs with machetes. Vehicles and buildings have been set on fire. Police fired over the heads of youths blocking the main road. Some of those fleeing the violence have taken shelter in some of the horticultural farms around Naivasha, our correspondent says. The area's huge horticulture and flower-growing industry employs more than 20,000 people, and supplies a third of Europe's cut flowers. Further north, Kenya's fourth biggest city Nakuru has also been the scene of deadly violence between rival Luo and Kikuyu communities.
At least 30 people have been killed since Thursday and scores of people were injured in clashes between fighters armed with machetes, spears and bows and arrows. There were no reports of further fighting from Nakuru on Sunday. But the ruins of torched buildings smouldered, and a reporter for news agency AFP said bodies lay in the city's deserted slums.
Annan call
Meanwhile, further south in Nairobi, Mr Annan has embarked on a sixth day of talks aimed at mediating a solution to the crisis.
He met Mr Odinga, after meeting Mr Kibaki on Saturday.
On Saturday, he visited Eldoret in the Rift Valley, scene of some of the worst post-election violence took place and spoke to refugees living in camps. "We saw gross and systematic abuse of human rights, of fellow citizens and it is essential that the facts be established and those responsible held to account," he said.
Fundamental changes, he added, were needed in Kenya to prevent a repetition of inter-ethnic violence. "We cannot accept that periodically, every five years or so, this sort of incident takes place and no-one is held to account," he said.
EAC walituma observers waliporudi Arusha waliahidi kutoa tamko lakini baada ya kupewa peremende na mabwana zao wakabana.
EAC hawana ubavu kabisa ndio sababu wengi wetu tuna mashaka na hawa viongozi wanaoangalia matumbo yao.
Dua
EA walitoa ripoti yao kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki!
Kama una link naomba maana nilifuatilia kwa muda lakini sikufanikiwa. Thanks for that information.
Hapana, MzalendoHalisi hapo hujasema ukweli. Waangalizi wa uchaguzi toka EAC ripoti yao haina msimamo wowote wa maana kuhusu uchaguzi uliofanyika Kenya. Kwa ufupi ni kuwa wamejiumauma tu bila msimamo unaoeleweka. It is just a worst of peoples' money.
Dua
EA walitoa ripoti yao kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki!
Kitila:
Sio Kibaki wala Raila mwenye uwezo tena wa kuwaambia watu kitu wakakisikiliza, kwani sio swala la uchaguzi tena sasa.
Sana sana linaloweza kufanyika sasa ni kwa kutangazwa hali ya hatari na kuwekwa curfew sehemu zote zilizo na matatizo. Na wakati huo huo, wanasiasa wakubali paundwe serikali ya mpito wakati uchaguzi mwingine ukisubiriwa.
How long should this go before the powers that be could seriously intervene? Can Raila and Kibaki get out of their mansions and hotels and tell their supporters to stop the madness in the streets?If the so called East African Community cannot have powers to reverse the trends in Kenya, should it be there in the first place? What about the AU? So, we are waiting for the mzungu to come? There are just too many questions than answers, stupid us!