Kenge.

Ivunga, leo naona yupe Polisi wa Kike kakuwekea kichupa kizima cha Stolichnaya na Kalubasa kwa wingi maana hii topic imekaa wima.

Nimekumbuka wimbo wa KENGE ANA MADOA-MADOA.

 
Ivunga, leo naona yupe Polisi wa Kike kakuwekea kichupa kizima cha Stolichnaya na Kalubasa kwa wingi maana hii topic imekaa wima.

Nimekumbuka wimbo wa KENGE ANA MADOA-MADOA.

hahaha..mkuu huu wimbo umenikumbusha mbali sana .babu yangu alikuwa na gitaa kipindi hicho alikuwa celebriti kwenye vilabu vya pombe kijijini ..na huu wimbo ndio ulikuwa unapendwa sanaa ..alikuwa akipiga gitaa na kuimba pembeni kulikuwa na mshkaji wake ameshika kopo la bati ndani limewekwa sijui ni kokoto zile au mchanga ..basi walevi wote kwenye kilabu cha pombe lazima wasimame.hhahhaha you just made my day.
 
Leo mnajadili makenge... Orayt. Mwali utaniletea feedback ya huu mjadala huku wodi ya wenye mabusha.
Bila shaka Aspirin. NIwekee nyama choma (napenda moyo)
 
nyie wa kutoka pemba bana. Mnajuana kwa staili ya barghashia yakhe! Ila nachojua kikubwa kuhusu kenge, anapenda mno mayai
 
Ivunga, leo naona yupe Polisi wa Kike kakuwekea kichupa kizima cha Stolichnaya na Kalubasa kwa wingi maana hii topic imekaa wima.

Nimekumbuka wimbo wa KENGE ANA MADOA-MADOA.


naona kenge ame-log on aisee

kichwa juu kwa umbeya na kulalama
 
Leo mnajadili makenge... Orayt. Mwali utaniletea feedback ya huu mjadala huku wodi ya wenye mabusha.

Yeah mkuu, kenge na makenge ni jamii ambayo inahitaji mapenzi ya uangalifu kutokana na upumbavu
 
sasa hapa tunatongozana kikengekenge au inakuaje !!??

Na mimi nahitaji kukamata n'tu nin'tongoze nkan'nanilii......sijui nitongoze kupeng'e......nikikuta anamasharubu nayanyoa, nampaka yolanda then tunaongea ki-kameroon.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…