Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 13,550
- 16,631
UmemfananishaSi yuko kwenye list ya KONK KONK master
UmemfananishaSi yuko kwenye list ya KONK KONK master
Endelea kuifatilia mkuu sasa hivi imerudisha heshima yakeJamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.
Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.
Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
Upo sawa mkuu Ommy yupo tofauti kabisaMi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
Siku hizi ukiwa na sauti yenye mafua basi unakuwa mtangazaji mzuri. Maisha hayajawahi kuwa magumu.
WOza woza woza woza King The Smash!!! Nilikuwa nasikilza sana The Crewz ya John Dilinga Matlou.Jamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.
Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.
Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
Huyo jamaa hamna kitu kabisa , kazi yake kudandia dandia tuNianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.
Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na nikiri tu kwa kusema huyu jamaa amebarikiwa aisee,ana vitu ambavyo watangazaji wengi hawana mfano sauti ya kipekee na vingine,pia kuwa relevant na what goes around..kwa wafuatliaji wa media utaona kuwa hakuna talent mpya kali kwa kipindi hiki ila huyu anaweza kuwa mmoja wapo..
Big up IPP kwa jicho la kipekee
We Kennedy ndio umeamua uje ujipaishe huku?
Anyway uko vizuri mkuu
Tuliaaaaa.....Tulia mdogo wangu, Asante