Kenedy 'The Remedy' wa Clouds FM

Mi namuona wa kawaida tu, kwa hawa watangazaji wa vipindi vya burudani wa miaka ya hivi karibuni naona Lil Ommy kidogo ana upekee
 
Jamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.

Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.

Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
Endelea kuifatilia mkuu sasa hivi imerudisha heshima yake
 
Jamaa hauna data kabsa. Kwa taarifa yako IPP ndo kiwanda kikubwa cha kuibua vipaji vya utangazaji na mambo mengne yanayohusiana na hayo.

Kennedy the Remedy, Mamy Baby, Dj Sinyorita wote walitoka East Africa Radio kweny kipindi cha The Cruise.

Ila nikiri tuu tangu hizo mtu 3 zenye chemistry ya hali ya juu ziondoke The Cruise nayo ikawa km imepooza.
WOza woza woza woza King The Smash!!! Nilikuwa nasikilza sana The Crewz ya John Dilinga Matlou.
 
Nianze kwa kutoa pongezi kwao IPP Media kwa kuwa na jicho la kipekee kabisa la kuona talanta mbalimbali kubwa kwenye utangazaji.

Kenedy alitoka East Africa redio na kwenda Clouds mwaka 2015 na nikiri tu kwa kusema huyu jamaa amebarikiwa aisee,ana vitu ambavyo watangazaji wengi hawana mfano sauti ya kipekee na vingine,pia kuwa relevant na what goes around..kwa wafuatliaji wa media utaona kuwa hakuna talent mpya kali kwa kipindi hiki ila huyu anaweza kuwa mmoja wapo..

Big up IPP kwa jicho la kipekee
Huyo jamaa hamna kitu kabisa , kazi yake kudandia dandia tu
 
Hayumo huyo kwenye listi ya mr konki?Maana clouds kasalimika Masudi Kipanya tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom