Kemea ubaguzi Jamhuri ya Afrika Kusini

Kemea ubaguzi Jamhuri ya Afrika Kusini

Moony

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
1,599
Reaction score
437
Fujo na mauaji yanayoendelea RSA ni ushahidi tosha kwamba ubaguzi uko katika damu ya kila mzawa wa huko.

Inashangaza na kutia uchungu sana kuona watu ambao wamesaidiwa na Africa nzima ili wapate uhuru wamegeuka wanyama.

Hivyo nawaomba Jukwaa la AZAKI litoe tamko rasmi kama walivyotoa wenzetu wa nchi nyingine.
 

Attachments

PRESS RELEASE : Stop this madness called Xenophobia
attachment.php

attachment.php


cc: Moony
 

Attachments

  • Xenophobia_South_Africa1.jpg
    Xenophobia_South_Africa1.jpg
    308.8 KB · Views: 77
  • Xenophobia_South_Africa2.jpg
    Xenophobia_South_Africa2.jpg
    311.9 KB · Views: 81
Back
Top Bottom