Kelele za wadada nyumba za wageni zinaaibisha

Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na
Sana tu
 
Wikiendi iliyopita nilipata mualiko kutoka kwa mpenzi wangu wa zamani; nami nikafunga safari na kueleka mkoani. Baada ya kufika, nikatafuta 'lodge' iliyonipendeza, nikalipia chumba kwa ajili ya mapumziko. Kwa sababu nilikuwa bado sijala, nikaweka oda ya chakula, kitimoto rosti, ndizi, matunda, na bia mbili. Baada ya kuweka oda, nikaenda kuoga ili kupunguza uchovu. Nilipotoka bafuni, ndipo wakaniletea vyakula nilivyoagiza na kuanza kula
Mkuu umepgwa alkua anaigza huyo
 
Back
Top Bottom