Kelele za Mama Akifanya Mapenzi Zasababisha Mtoto Aite Polisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kelele za Mama Akifanya Mapenzi Zasababisha Mtoto Aite Polisi

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Mar 24, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,986
  Likes Received: 3,536
  Trophy Points: 280
  [TABLE="width: 491"]
  <tbody>[TR="bgcolor: #E1E1E1"]
  [TD]
  [​IMG]
  [/TD]
  [TD]Thursday, March 22, 2012 3:33 AM
  Mama mmoja wa nchini Marekani amejikuta akiitiwa polisi na mwanae wa kike ambaye alikerwa na kelele zake za kimahaba wakati akifanya mapenzi na mpenzi wake.[/TD]
  [/TR]
  [TR]
  [TD="colspan: 3"]Mama mmoja mkazi wa Panama City, Florida nchini Marekani alijikuta akigongewa mlango na mapolisi walioitwa na binti yake mwenye umri wa miaka 15 ambaye alikerwa na sauti za malavidavi za mama yake.

  Binti wa mama huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, aliamua kupiga simu polisi akiwaomba wamchukue wampeleke kwenye kituo cha kulelea watoto cha kanisa.

  Mtoto huyo aliwapigia simu polisi majira ya saa 10 alfajiri akisema kuwa sio kwamba mama yake anamtesa au kumtelekeza bali anahisi mama yake anamvunjia heshima kwa kumsikilizisha kelele zake za mahaba wakati akiwa kwenye malavidavi.

  Mama huyo mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia polisi kuwa siku ya tukio alimualika mpenzi wake nyumbani kwake na kwakuwa chumba chake na cha binti yake vinatenganishwa na ukuta tu ndio maana alikuwa akisikia mambo yaliyokuwa yakiendelea.

  Baada ya maafisa wa polisi na wa kanisa kuzungumza na binti huyo hatimaye binti huyo alikubali kubaki nyumbani kwao kwakuwa zilikuwa zimebaki siku chache kabla ya kutakiwa kurudi kwenye shule yake ya bweni.

  Pamoja na kasheshe hilo, polisi walimkabidhi binti huyo kijarida chenye maelezo ya haki za msingi za kila mkaaji kwenye nyumba.[/TD]
  [/TR]
  </tbody>[/TABLE]

  Kelele za Mama Akifanya Mapenzi Zasababisha Mtoto Aite Polisi
   
 2. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #2
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,083
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Duh kelel mpaka mtoto anakereka
  Balaa kweli
   
 3. kirumonjeta

  kirumonjeta JF-Expert Member

  #3
  Mar 24, 2012
  Joined: Feb 9, 2008
  Messages: 2,883
  Likes Received: 297
  Trophy Points: 180
  Usifanye mchezo hasa inapotokea mtu unataka kuibiwa we acha kabisa,utaimbiwa mpaka nyimbo za kikabila chako.
   
 4. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #4
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Ndo akome....kwanza anamfundisha mtoto tabia mbaya
   
 5. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #5
  Mar 24, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,589
  Likes Received: 3,716
  Trophy Points: 280
  Inabidi tuanzaishe jukwaa la picha na vioja
   
 6. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #6
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 38,986
  Likes Received: 3,536
  Trophy Points: 280
  mimi pia yalinikuta huku nilipo mwanamke mweupe na mume wake ikifika saa 8 basi inakuwa ni kasheshe sipati usingizi mpaka nikawaambia ukweli wakaacha hiyo tabia yao ya kupiga makele ina udhi kweli raha zao wanawaudhi hata majirani ehh balaa hilo.
   
 7. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #7
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  malovee ya mchanganya dogo sio mchezooo..
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Mar 25, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,637
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  pole sana kwa dhahama hiyoo mkuu..
   
 9. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #9
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,319
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  huyo maza pimbi kweli
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto alikuwa na nyege tu, hakuna zaidi.
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,018
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  wivu tu.
   
 12. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #12
  Mar 25, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,169
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  huyo mama inaelekea ni mtaalamu wa hayo mambo maana hapo inaonyesha alimzaa huyo mtoto akiwa na miaka 20
   
 13. Yericko Nyerere

  Yericko Nyerere Verified User

  #13
  Mar 25, 2012
  Joined: Dec 22, 2010
  Messages: 15,390
  Likes Received: 2,091
  Trophy Points: 280
  Hii tabia ipo hata kwenye nyumba zetu za kupanga (mfukoni) Utakuta jama kaleta demu, kisha demu anapiga kelele mpaka majirani wanaamka kwenda kuamulia wakijua ni mapigano ya chuki kufika mlangoni wanaona helele za mahaba!

  Sheria hii ya haki ya aliyelaal ianishwe ktk katiba mpya
   
 14. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #14
  Mar 25, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 12,268
  Likes Received: 573
  Trophy Points: 280
  Kelele za nini kama anacheza porno au na yeye anauza maana wateja wanaibiwa kwa kupigiwa kelele?
   
 15. Crucial Man

  Crucial Man JF-Expert Member

  #15
  Mar 25, 2012
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 3,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  nilikuwa na jirani yangu binti wa kinyamwezi,siku akimualika mpenzi wake yaani we acha tu.kelele za kufa mtu.thanx god alipewa notice na mwenye nyumba bila sababu maalum.
   
 16. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #16
  Mar 25, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,220
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  hiyo sababu aliyoitoa mtoto ni very critical na ambayo inasikilizika na ku-make sense.
   
 17. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #17
  Mar 25, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 2,960
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hapa Bongo familia zina tenganishwa na pazia tu watoto wanaazoea kelele mpaka mwisho wasiposikia baba na mama wanakula tunda wanajua leo hawajala......huu ni ununda ila huyo binti nae alikuwa anamaind mzigo tu
   
 18. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #18
  Mar 25, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Pimbi au vishindo vinamlazimu?
   
 19. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 11,968
  Likes Received: 1,745
  Trophy Points: 280
  Dogo naye angeomba game.
   
 20. F

  Fmewa JF-Expert Member

  #20
  Mar 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usiombe hali hiyo ikatokea, iliwahi kunitokea siku mmoja baba mwenye nyumba mkewe alikua amesafiri mzee akachukua voda fasta....... mh ndugu yangu ilikuwa taabu humo ndani usiku yaani ile voda fasta ilikuwa inalalamika utadhani inalazimishwa..... achana na hizo kelele zinaboa ukizisikia zinatokea chumba cha pili ila kama wewe ndo unamsababishia demu unajiona kidume kweli.. teh teh teh teh....
  mkuki kwa nguruwe kwa binadamu? hahahahah
   
Loading...