Keep waiting , Barua ishaandaliwa

Kuna mjukuu nimemuomba anipe abc maana huu uzee wetu kuanza kufikiri ni kupandisha sukari.
Maana hapa tutaumiza vichwa kujiuliza kua barua imeandikwa ili:
-Samia kujiuzulu?
-lisu aachiliwe?
-Nchimbi kujiuzulu?
- kuruhusu mchakato wa katiba mpya?
-kurudia uchaguzi?
-kuruhusu uchaguzi huru?
-kuruhusu uchunguzi huru?
-n.k
Sisi wazee tukifukiri sana sukari itapnda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…