Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,554
- Thread starter
- #21
Wabongo wamezoea siasa (maneno matamu ya kinafiki). Mimi hadi nimefungua grocery na nikawa nauza mwenyewe - watu wananicheka lakini kuna kitu nilikuwa napata; badala ya kutoka kwenye mishe zangu nikajichanganya kwenye baa za watu nilikuwa naenda kwenye grocery yangu - nachoma mishkaki na inaisha kabisa.Ukweli mchungu,Mimi nimekuelewa Mkulu
Yaani nikiangalia kazi zilizopo mtaani ni nyingi sana ila watu / vijana hawataki kabisa.