Kazi zimekua ngumu sana

Kazi zimekua ngumu sana

Mkuu Mama yangu kazi yake ya kwanza alikuwa analipwa

Elfu 60 kwa mwezi lakini alimudu kujenga kusomesha kulisha
Na kununua usafiri pia na kufungua vitegea uchumi vingine hadi alipo kuja kuongezewa mshahara kiwango kizuri

Tayari alikuwa mtu anae jimudu kwa 60/ kwa mwezi maisha ni kuchagua na kuweka malengo

Vijana nawatu wengi hatuna malengo katika maisha yetu ndio maana tunaishia kulala mika kila siku tu

Hata ulipwe milion mia kwa siku kama huna malengo na maisha Yako bado utakuwa mzee wa kujuta na kujilaumu kwa ni ni mimi kwa ni ni mimi
[emoji121]
HUO MSHAHARA WA ELFU 60 WA MAMA ULIKUWA WA MWAKA GANI?

LABDA TUANZIE HAPO.
 
Habari wakuu?
Ni kijana wa kiume mwenyewe umri usiozidi miaka 27

Nimemaliza degree katika maswala ya kodi mwaka 2014

Nilipata vikazi lakini vya mkataba(contract job) ambazo ndio nilikua nafanya up to this time ambapo mkataba umeisha na hakuna dalili za kuongezewa

Aisee nahitaji mtu yoyote mwenyewe connection hapa Dar es salaam angalau hata nipate pa kujishikiza

Siangalii malipo wakuu swala ninalotaka ni kupata sehemu yakwenda tu asubuhi mana Najua ukiwa na sehemu takutana na watu na tapata hata connection zingine

Sichagui kazi ila ni mfanya kazi mzuri a ia bidii ya kutosha

Naomba kuwasilisha wakuu huku nikihitaji msaada zaidi hata wa mawazo
Umemaliza chuo gani? Ni Kazi gani za kodi umewahi kuzifanya? Umewahi ishi mikoa gani tofauti na Dar es salaam? Nini unahitaji ili kutimiza ndoto zako za kitaalumu?
 
Nimemaliza ifm bachelor of taxation

Kazi za Kodi nilizowahi kuzifanya ni kama
Kuwaelimisha wafanyabiashara kuhusu elimu ya kodi
Kutengeneza tax returns
Kufanya assessment na zinginezo

Nimeishi mikoa kama Dodoma,singida,Mbeya,Tabora na Dar es salaam ambapo ndio mwenyeji zaidi

Mahitaji ni kwanza kumudu at least garama za maisha na kufikia malengo ya kimaendeleo lakini pia kujiendeleza zaidi katika nyanja ya maswala ya kodi

Na ningeshukuru ungeniruhusu nije PM ili turlewane zaidi Mkuu!
 
Mkuu Mama yangu kazi yake ya kwanza alikuwa analipwa

Elfu 60 kwa mwezi lakini alimudu kujenga kusomesha kulisha
Na kununua usafiri pia na kufungua vitegea uchumi vingine hadi alipo kuja kuongezewa mshahara kiwango kizuri

Tayari alikuwa mtu anae jimudu kwa 60/ kwa mwezi maisha ni kuchagua na kuweka malengo

Vijana nawatu wengi hatuna malengo katika maisha yetu ndio maana tunaishia kulala mika kila siku tu

Hata ulipwe milion mia kwa siku kama huna malengo na maisha Yako bado utakuwa mzee wa kujuta na kujilaumu kwa ni ni mimi kwa ni ni mimi
Mkuu elfu 60 alikua analipwa mwaka gani?? Maana kuna miaka elfu 60 ilikua sawa na milion ya sasa!
 
Is Tax evasion a crime???
Daaah Mkuu umeanza na interview hapa hapa[emoji1] [emoji2] [emoji3]

Ila its true tax evasion is a crime and the guilty part is liable to fines and/or imprisonement
 
No...sio interview kuna kitu nachanganya mkuu!! Je tax evasion na tax avoidance ni kitu kimoja?? Kama sio je kipi ni crime??
 
Mkuu Mama yangu kazi yake ya kwanza alikuwa analipwa

Elfu 60 kwa mwezi lakini alimudu kujenga kusomesha kulisha
Na kununua usafiri pia na kufungua vitegea uchumi vingine hadi alipo kuja kuongezewa mshahara kiwango kizuri

Tayari alikuwa mtu anae jimudu kwa 60/ kwa mwezi maisha ni kuchagua na kuweka malengo

Vijana nawatu wengi hatuna malengo katika maisha yetu ndio maana tunaishia kulala mika kila siku tu

Hata ulipwe milion mia kwa siku kama huna malengo na maisha Yako bado utakuwa mzee wa kujuta na kujilaumu kwa ni ni mimi kwa ni ni mimi
Hiyo ilikuwa mwaka gani, kama ni hii miaka ya karibuni naona kuna mila dalili ya kutoambiwa ukweli hapa, kuna kitu anakuficha
 
No...sio interview kuna kitu nachanganya mkuu!! Je tax evasion na tax avoidance ni kitu kimoja?? Kama sio je kipi ni crime??
Sio kitu kimoja
Tax evasion is a crime mana ni ukwepaji wa kodi kwa maksudi ila tax avoidance ni halali kisheria

Yani kwa mfano wewe una nagari mawili ila una umwezo wa kulipia kodi gari moja sasa basi

Nafanya tax evasion maana yake utalipia gari moja lakini la pili utaendelea kulifanyia kazi bila kulipia yani unakwepa kodi

Tax avoidance hapa katika nagari mawii Yale kwa sababu unaweza kulipia moja basi like lingine unalipaki nyumbani na haulitumii hapo umefanya avoidance ila Siku ukitka kulitumia basi utalazimija kulipia kodi stahiki

Mifano Uko mingi ila evasion ni umevunja sheria na alievunja inatakiwa alipe fine au aende jera au vyote kwa pamoja ila avoidance inaruhusiwa kisheria
 
Kila la kheri dogo...
 
Wewe umemaliza 2014 kumbuka kuna wenzako wa 2011, 2012, 2013, 2015, 2016 na kesho kutwa wanafyatuliwa wengine 2017 wote wanataka kazi kama unayotafuta... Ushauri wangu rudi nyumbani wakabidhi home kwenu hiyo degree ingia mtaani chakarika mambo ya kazi maofisini hazipo
 
na wa account bila cpa upuuzi mtu ndo mambo ya kwenda kuwa bank teller
Kazi hamna ndugu wewe endelea kusoma,Huko Bank ndio shidaa nani atakuamini uwe Bank Teller wakati Baba yako muuza mihogo ukikimbia itakuaje ,Maisha ni hovyo sana waliosoma wamekuwa ombaomba mitaa ya huko Posta Dar es salaam kutwa na mabahasha,kikubwa ni kunywa viroba kazi hakunaaa au labda subiri wakistaafu walioajiriwa mwaka jana utapata nafasi after 30 years kuwa mvumilivu
 
Nisawa lakini kilakitu malengo tuu

Jiulize kwann muuza karanga ana mke

Watoto kajenga Na anasomesha na
Kulisha familiar kwa karanga pakiti 100

Nikwamba kajipangilia na Kujinyima mambo yasio na ulazima hivyo hatakama mshaara haukidhi

Ukijiwekea malengo unatoboa tu
Karanga zina hela acha tu, nilishahi kufanya kautafiti kadogo tu kwa mzoefu wa kuuza karanga, akaniambia akichukua debe moja, kuzingaanga na kuziuza mpaka ziishe faida inapatika ya kuchukulia debe moja jingine. So usidharau kuuza karanga au usifikiri haina maslahi achana na hawa wanaoenda kununua kilo moja ya karanga dukani ndio akauze.
 
Kazi hamna ndugu wewe endelea kusoma,Huko Bank ndio shidaa nani atakuamini uwe Bank Teller wakati Baba yako muuza mihogo ukikimbia itakuaje ,Maisha ni hovyo sana waliosoma wamekuwa ombaomba mitaa ya huko Posta Dar es salaam kutwa na mabahasha,kikubwa ni kunywa viroba kazi hakunaaa au labda subiri wakistaafu walioajiriwa mwaka jana utapata nafasi after 30 years kuwa mvumilivu
ahaaaaaaa mkuuu umenifurahisha ila PM kapiga marufuku viroba
 
Wa Ungo Mkuu naushahidi kabisaa wawazi

Anawatoto wanne mmoja anasoma chuo wengine kidato

Lakini analisha anasomesha na ana mudu maisha kwa karanga pakiti tsh mia
Karanga nahisi zitakuwa na faida maana hata huku kuna jilani yangu kajenga nyumba ya kisasa kabisa na watoto wewili wapo chuo
 
Back
Top Bottom