Mugabe wa Bongo
Senior Member
- Apr 14, 2012
- 145
- 72
Wakuu kuna kitu kimenishangaza sana kuhusu NSSF, ni kwamba kama wewe ni mfanyakazi na mkataba wa kazi umeisha sehemu ulipokuwa unafanyia kazi, ukaona mazingira ya kazi si mazuri, ukaamua kutosaini mkataba mwingine, hapo inakuwa imekula upande wako, ukienda NSSF hawakulipi hata senti yako, wanadai umeacha kazi mwenyewe.
Ili wakupe mafao yako wanasema ni hadi ufukuzwe kazi na mwajiri ndo wanaweza kukulipa!!!!
Pesa ni zako lakini kukulipa inakua shida. imeshangaa sana
Tusaidiane kupaza sauti.
Ili wakupe mafao yako wanasema ni hadi ufukuzwe kazi na mwajiri ndo wanaweza kukulipa!!!!
Pesa ni zako lakini kukulipa inakua shida. imeshangaa sana
Tusaidiane kupaza sauti.