Kazi zimekua ngumu sana

Kazi zimekua ngumu sana

Nisawa lakini kilakitu malengo tuu

Jiulize kwann muuza karanga ana mke

Watoto kajenga Na anasomesha na
Kulisha familiar kwa karanga pakiti 100

Nikwamba kajipangilia na Kujinyima mambo yasio na ulazima hivyo hatakama mshaara haukidhi

Ukijiwekea malengo unatoboa tu
Kweli kabisa barikiwa[emoji8]
Kuna MTU shoeshine[emoji149] lakini ana mjengo[emoji537] na familia mke na watoto anasomesha
 
Duh pole sana mwanakodi mwenzangu.. Huwa najuta sana kusoma Tax bora tungesoma hata account.. Maana sehemu zngne wanasema mtu wa Tax hawezi kufanya kazi za kodi yaani ni kozi ya hovyo sana
 
Duh pole sana mwanakodi mwenzangu.. Huwa najuta sana kusoma Tax bora tungesoma hata account.. Maana sehemu zngne wanasema mtu wa Tax hawezi kufanya kazi za kodi yaani ni kozi ya hovyo sana
Aisee ile kozi Haina maslahi Mkuu bora hata waibadilishe jina mana hata mabosi hawaijui bara hata Waite bachelor of taxation with accounts mana ikibaki taxation aisee hakuna kitu
 
Mkuu sasa muongozo sina Mkuu labda uniruhusu nije pm nipate muongozo mkuu
muongozo ni Mungu wako,jitahidi uwe na imani thabiti,jitoe ingia sehehmu yoyote uwezo wako wa kujiamini unaweza kukupatia nafasi usiyotarajia...uoga wako ni umaskini wako.
 
Fanya umachinga wa nguo,viatu vya mtumba kike,, very cheap tandale, ilala unakuja uza posta karibu na njia ya mwendokasi jioni.Aibu yako umaskini wako
 
Duh pole sana mwanakodi mwenzangu.. Huwa najuta sana kusoma Tax bora tungesoma hata account.. Maana sehemu zngne wanasema mtu wa Tax hawezi kufanya kazi za kodi yaani ni kozi ya hovyo sana
na wa account bila cpa upuuzi mtu ndo mambo ya kwenda kuwa bank teller
 
muongozo ni Mungu wako,jitahidi uwe na imani thabiti,jitoe ingia sehehmu yoyote uwezo wako wa kujiamini unaweza kukupatia nafasi usiyotarajia...uoga wako ni umaskini wako.
Thank you kwa ushauri
 
Fanya umachinga wa nguo,viatu vya mtumba kike,, very cheap tandale, ilala unakuja uza posta karibu na njia ya mwendokasi jioni.Aibu yako umaskini wako
Thanks kwa ushauri
 
Nisawa lakini kilakitu malengo tuu

Jiulize kwann muuza karanga ana mke

Watoto kajenga Na anasomesha na
Kulisha familiar kwa karanga pakiti 100

Nikwamba kajipangilia na Kujinyima mambo yasio na ulazima hivyo hatakama mshaara haukidhi

Ukijiwekea malengo unatoboa tu
Muuza karanga mkulima au huyu anaetembeza kwenye ungo? Fafanua
 
Muuza karanga mkulima au huyu anaetembeza kwenye ungo? Fafanua
Wa Ungo Mkuu naushahidi kabisaa wawazi

Anawatoto wanne mmoja anasoma chuo wengine kidato

Lakini analisha anasomesha na ana mudu maisha kwa karanga pakiti tsh mia
 
Wa Ungo Mkuu naushahidi kabisaa wawazi

Anawatoto wanne mmoja anasoma chuo wengine kidato

Lakini analisha anasomesha na ana mudu maisha kwa karanga pakiti tsh mia
Duuu itanidi na mm nifanye utafiti mdogo huenda kweli kuna fursa atuxioni kwa kuona aibu
 
Pole sana man.. hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwa baadhi ya wabongo hasa vijana graduates kwani mirija ya ajira karibia yooooooooooooooooooote imebanwa na wenye nayo... hili sakata la vyeti feki halijaacha watu wengi sana salama so hopefully linaweza kutengeneza mianya ya ajira though the best way kwa sasa ni kujiajiri tuu maanake hata hizo kazi zilizoachwa na watuhumiwa wa vyeti feki zinaweza zisijazwe leo wala kesho... lkn yote ya yote NI KUMUOMBA MUNGU, YEYE ndo anajua DESTINY ya kila aliyemuumba..Kunaweza kukawa na wakati mgumu kwenye ajira lkn wewe ukatoba... Usinyamaze kwa hili mkuu..
God bless you Mkuu.
I salute you
 
Duuu itanidi na mm nifanye utafiti mdogo huenda kweli kuna fursa atuxioni kwa kuona aibu
Mkuu Mama yangu kazi yake ya kwanza alikuwa analipwa

Elfu 60 kwa mwezi lakini alimudu kujenga kusomesha kulisha
Na kununua usafiri pia na kufungua vitegea uchumi vingine hadi alipo kuja kuongezewa mshahara kiwango kizuri

Tayari alikuwa mtu anae jimudu kwa 60/ kwa mwezi maisha ni kuchagua na kuweka malengo

Vijana nawatu wengi hatuna malengo katika maisha yetu ndio maana tunaishia kulala mika kila siku tu

Hata ulipwe milion mia kwa siku kama huna malengo na maisha Yako bado utakuwa mzee wa kujuta na kujilaumu kwa ni ni mimi kwa ni ni mimi
 
Habari wakuu?
Ni kijana wa kiume mwenyewe umri usiozidi miaka 27

Nimemaliza degree katika maswala ya kodi mwaka 2014

Nilipata vikazi lakini vya mkataba(contract job) ambazo ndio nilikua nafanya up to this time ambapo mkataba umeisha na hakuna dalili za kuongezewa

Aisee nahitaji mtu yoyote mwenyewe connection hapa Dar es salaam angalau hata nipate pa kujishikiza

Siangalii malipo wakuu swala ninalotaka ni kupata sehemu yakwenda tu asubuhi mana Najua ukiwa na sehemu takutana na watu na tapata hata connection zingine

Sichagui kazi ila ni mfanya kazi mzuri a ia bidii ya kutosha

Naomba kuwasilisha wakuu huku nikihitaji msaada zaidi hata wa mawazo
Ni PM
 
Back
Top Bottom