Kazi zenye laana isiyoonekana

Kazi zenye laana isiyoonekana

Kingsharon92

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2015
Posts
8,492
Reaction score
12,108
Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
 
Mafundi ujenzi(local)
 
Hiyo research umeifanyaje hadi ukafikia hiyo conclusion?
-kuna wavuvi wa kutumia ndoano hadi boti na meli, huwezisema mtu kanunua boti au meli ana laana.
-kuna wachana mbao wa kutumia chainsaw ya milion 3 hadi zile mashine kubwa zinazonunuliwa milioni 20+ unatumia vigezo gani kusema hiyo kazi ina laana.
-Mchimba madini akifanikiwa salio kusoma bilion kadhaa kawaida na wengine wanamiliki migodi. Hiyo laana unayosema imezingatia sababu zipi?
-Mi nasema hamna kazi yenye laana wala kitu kinachoitwa laana hakipo.Akili na mtazamo wa mhusika wa kazi fulani inavofanya kazi ndo kila kitu.
 
Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
Kwako kutoboa maisha kunaanzia wapi.
 
Back
Top Bottom