Kazi zenye laana isiyoonekana

Kazi zenye laana isiyoonekana

Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
5. Wauza maji barabarani hapa Dar
6. Wasanii wa Bongo Movie
 
Ndio huwezi kuta mchimba madini ana hivi vitu?
Hujaelewa hoja yangu ni kwamba kuna mchimbaji mwekezaji huyu hayupo kwenye hiyo chain hapa nazungumzia watenda kazi sijui umenielewa mkuu
 
Kuna mvuvi mtenda kazi na kuna mvuvi mwenye kumiliki hizo boat yeye haendi ziwani au baharini ninachomanisha mimi ni happy watendakaziil
Kila kitu huanza polepole ngazi ya chini, kwa kuanza kufanyia kazi watu hadi kumiliki vyakwako vikubwa kwa kujiongeza.Huwezitoka from nowhere unafanya mambo makubwa bila kuburuzwa na waliokutangulia katika game. Huyo anaemiliki boti unakuta nayeye kabla ya hapo alikuwa kibarua wa watu ,badae kwa kujiongeza kiakili akanunua lake akawa bosi. Kufanikiwa ni mchakato.
 
Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
Umewahi kukutana na Mchimba chumvi aliyefanikiwa?

Je Mpasua Mbao?
 
Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
Wachimba madini Wana magolofa na ma V8 lkn wanajificha wasionekane majizi
 
Yaani uchane mbao afu ustoboe? Acha uongo. Na ili uamini unachoongea ni uongo nenda mafinga,iringa na njombe ukaone watu walivyowekeza kwenye elimu za watoto wao na kwenye assets nyingine nyingi kwasababu ya kuchana mbao tu
 
Au ulimaanisha wale wafanyakazi yaani wale washika misumeno, mashine, washika nyavu nk nadhani ulimaanisha hivi.
 
Au ulimaanisha wale wafanyakazi yaani wale washika misumeno, mashine, washika nyavu nk nadhani ulimaanisha hivi.
Hiyo ndiyo point yangu na nimefafanua lakini nashangaa nashambuliwa kama mpira wa kona
 
Natumaini mu bukheri wa afya vijana kwa wazee wenzangu
Msinichoshe nisiwachoshe moja kwa moja
Kwenye maada kujadili hizi kazi ambazo mimi naziona kama zina laana fulani hivi
1.wavuvi
2.wachoma mkaa
3.wachana mbao
4.wachimba madini
huwezi kukuta wafanyakazi wa hizo kazi katoboa maisha
Auuu co
 
Kwamba Mtume Petro alifanya Kazi yenye laana?.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hakuna kazi yenye laana wa iliyolaaniwa
Fanya kazi kwa bidii, maarifa na ustadi wa hali ya juu.
Kuwa na nidhamu mbele za watu, Heshimu pesa na muda wako utafanikiwa tu.
Wapo wasukuma Guta wamefanikiwa pia na kumbuka kila mtu anakipimo chake Cha mafanikio
 
Back
Top Bottom