Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,559
- 12,275
- Thread starter
- #61
Sasa kazi kama ya police nayo unaita ni kazi halali?Hakuna kazi yenye laana wa iliyolaaniwa
Fanya kazi kwa bidii, maarifa na ustadi wa hali ya juu.
Kuwa na nidhamu mbele za watu, Heshimu pesa na muda wako utafanikiwa tu.
Wapo wasukuma Guta wamefanikiwa pia na kumbuka kila mtu anakipimo chake Cha mafanikio
Yaani kubambikia watu kesi ili upate pesa hiyo si laana taslimu